Na Nkana watakuwa wamelala usingizi?simba niwape pongez wamejitahidi sanaa
hapo tunahitaji 1-0 tuingie makundi
Sumba anatoka taifa overNa Nkana watakuwa wamelala usingizi?
Piga hata 5Bye bye Nkana FC pale kwa mchina mnakula 4 bila
Labda kama watakuwa wamelala uwanjani kwa wakati huo...Bye bye Nkana FC pale kwa mchina mnakula 4 bila
Acha kejeli wewe timu inaongoza ligi na haijafungwa hata mechi moja unaibeza? Subirini tutawaresha matopeni tu hamna namna!Yanga hii hii ya matopeni?
Au ile ya Kimataifa ya Manji?
Simba yatinga makundi,hutaki kufaNa Nkana watakuwa wamelala usingizi?
Manara minara Dewji Ng'0mbeee shahidi was Yehovaaaa
Nimeumia kweli yani. Kikosi kipanakimepigwa ???Dah mikia wamepata away goal.
Hiyo itakua piga nikupige.Game over hawa kwa mchina wamekwisha
Dk wa timu ganiHili swala la dactari kutandikwa konde kisha akawekwa kwenye cage kwa muda na mchezaji hakupewa kadi likoje kiutaalamu wa michezo. Maana ajaonekana kuwa damu zimemtoka na alikuwa anatumia tissue kujifuta damu....
Makundi ya whatsappSimba yatinga makundi,hutaki kufa
Nkana watakuwa wanaikodolea tu simba?simba niwape pongez wamejitahidi sanaa
hapo tunahitaji 1-0 tuingie makundi