Sio wanajangwani wote bali ni Wananchi wote.Dah! Ninavowajua wanajangwani naona wote mtahamia Nkana siku hiyo
Dah! Si majanga hayo sasa?Sio wanajangwani wote bali ni Wananchi wote.
Na huo ndio ukweli Ses.Dah! Ninavowajua wanajangwani naona wote mtahamia Nkana siku hiyo
Wamebaki kulaumu eti uwanja sio rafiki pia ni mdogo hivyo Chama alishindwa kujiachia. ππππHuku Chama mnae mmoja makelele tu sasa pale Nkana kuanzia fowadi hadi kipa wote hadi Hassan Kessy nae Chama.
Sasa si wangekuwa wanachukuwa kombe kila mwaka?Simba hatabiriki, akikukosa na kwenu ujue kwake umeisha.
Mbona ndondo cup wanacheza mitaani? Tena viwanja vya mchanga?Wamebaki kulaumu eti uwanja sio rafiki pia ni mdogo hivyo Chama alishindwa kujiachia. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
Kaa mkao wa kula pilau la kiislamu.Sasa si wangekuwa wanachukuwa kombe kila mwaka?
Ndio hapo sasa Mkuu. Tatizo walishamuweka level nyingine sasa juzi kawaumbua wamebaki visingizio.Mbona ndondo cup wanacheza mitaani? Tena viwanja vya mchanga?
ππππ kazi unayo Brave.Ndo wamerudi kimataifa sasa