Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake 3 - Kesi imeahirishwa hadi Nov. 29 2021

Kwa lipi haswa unajifanya kuwa na kiburi hivi, kama unafikiri hao uliokuwa nao wanakupenda na kukulinda, jua pia mwendazake aliwaza hivyo hivyo.
 
Mwenye picha za hawa mawakili wote wa Serikali kwenye kesi atuwekee hapa tuwajue

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa hilo Jaji anazidi kujianika, njia ya ushindi i wazi kabisa
 
Judge anajiweka katika wakati mgumu kwakutofuata sheria. Angalia sasa njia aliyoitengeneza mwenyewe mawakili wa utetezi wamepita humo humo, je atafanya maamuzi tofauti na maamuzi aliyoyapitisha katika pingamizi moja la huko nyuma ndani ya kesi ndogo?
Let's wait on Monday tuuone weredi wa judge.
 
Huo ndio UKWELI, haifai kujitoa, ushetani WAO lazima uanikwe mpaka watoto wajionee.
 
Kama Jaji Ni Mpumbavu unamsaidiaje? Kuna siku kwenye hii kesi kaamua kwa utashi wake na siyo Sheria. Anasema naamua hivi siyo sheria na mahakama inaamua hivi. Kwanini jaji Mkuu akukemea? Hapa ndipo upumbavu wa kutumwa kwake unapoonekana. Nikusaidie ndugu sikuzote iwe mahakama au bunge au polisi nk wapo kwa ajili ya waliokuwa madarakani tu na si vinginevyo. Kina babu seya yaliwapata nini kwa mashahidi wa uongo?
 
Hii ni ngumu kumeza
 
What comes around goes around
 
Mkuu Mawakili wa Pande zote mbili huwa wanakutana kabla ya kuingia Mahakamani kwajili ya briefing na baada kwa debriefing. Lakini ukweli ni kwamba wale wa Upande wa Jamhuri hujiona kuwa wao ni Bora na wa kupewa kipaumbele kuliko wengine.

Kwa kifupi msingi wa hii kesi tayari ulishaonyesha mapungufu ya kesheria siku ile Kingai alipokuwa akifanyiwa cross examination. Na Jaji kuonyesha upendeleo (Jaji Siyani). Pale ndipo tungeona nguvu na umuhimu wa Jaji Mkuu.

Nawe nikuulize, unataka kuniambia kuwa hakuna wabobezi wa sheria wanaofuatilia hili shauri na kisha kuweza kumtonya Jaji hata nje ya Mahakama kabla ya kufanya maamuzi??

Mfano Shahidi kakamatwa live akiwa na note book/diary pamoja na kalamu bila kusahau simu. Lakini chakushangaza Jaji alikuja kupeta bila aibu. Jaji Mkuu hakuliona hilo??
 
Hawa Mawakili wa Upande wa Utetezi nawaaminia wako makini mno. Hata Mh Lissu mwenyewe hana wasi wasi nao.
 
Atajiungaje? Kama alipigwa risasi kwenye maeneo yanayolindwa masaa 24 leo hajahakikishiwa ulinzi si atapigwa risasi kwenye viunga vya mahakama?
 
Ushaidi upi Sasa hapo unatosha kutoa hukumu kwamba jamaa ni GAIDI. We wa IFM nini?
 
Lete utamu bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…