Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Hakuna uhuru duniani, medical exam itafanywa na daktari wa serikali, analipwa mshahara na serikali.
 
Jamani!! Hivi maamuzi ya Jaji kutupilia mbali mapingamizi ya utetezi, haiwezekani kukata rufaa??
Kama haifai, je? Huyu Jaji bado mko na imani nae?? Maana naona kama nae ni wale wale kina Luvanda.
 
Hakuna haki hapa bongo Mawakili sirikali pamoja na kuonyesha kwamba wamebumba kesi ,lakini bado jaji ......
 
kweli nimeamini hutakiwi kuingiza siasa kwenye sheria.
wafuasi wa Mbowe wamekuwa wakijaribu kuingiza siasa kwenye sheria jambo ambalo haliwezekani.
naamini mawakili wa Mbowe watakuwa wame waelimisha wafuasi wa mboe.
waache ushabiki wa kisiasa.
 
Jamani!! Hivi maamuzi ya Jaji kutupilia mbali mapingamizi ya utetezi, haiwezekani kukata rufaa??
Kama haifai, je? Huyu Jaji bado mko na imani nae?? Maana naona kama nae ni wale wale kina Luvanda.
wamesha kuwa sasa, wameacha mambo ya kitoto.
 
kweli nimeamini hutakiwi kuingiza siasa kwenye sheria.
wafuasi wa Mbowe wamekuwa wakijaribu kuingiza siasa kwenye sheria jambo ambalo haliwezekani.
naamini mawakili wa Mbowe watakuwa wame waelimisha wafuasi wa mboe.
waache ushabiki wa kisiasa.
Kwani hao wa serikali sio wana siasa.
huu ni mchezo wa siasa
Itategemea mchezaji anacheza vipi ili kumshinda mpinzani wake
 
Kwani hao wa serikali sio wana siasa.
huu ni mchezo wa siasa
Itategemea mchezaji anacheza vipi ili kumshinda mpinzani wake
wafuasi wa mboe acheni kuleta siasa mbele ya sheria.
tulieni tujifunze sheria.
sasa mwanzoni mlikuwa mnashinikiza mahakama eti imuachie huru mboe eti hana hatia.........sasa haya yote tunayo yasikia tungeyajuaje........na bado
tuache mahakama ifanye kazi yake bila vurugu.
 
Naomba kujuzwa, kwanini maelezo yanaandikwa na polisi badala ya mhusika hata Kama anajuwa kusoma na kuandika?
Ivi vituo vya polisi havina cttv camera kuthibitisha mwenendo wa washitakiwa Hawa?
Hata zikiwekwa izo cctv camera hakuna kitakachosaidia,kumbuka umeme wetu haupo stable
 
Kuanzia mwaka ujao,statement ziwe kimaandishi na audiovisual,,bunge likae litunge hii sheria,sio watu wanaminywa korodani halafuwatoe statement's
 
Hizi huruma za keyboard hazisaidii kitu, Mimi kwa kuwasaidia kama Mbowe wanasingizia tumieni nguvu za kiroho za kupata haki kutoka kwa Mungu chagueni siku tatu za maombolezo au mbili za kumulilia Mungu haki ipatikane wafungwa na wote mtakaojitolea siku hizo msilale vitandani mwenu mtandike mikeka mlale chini kama waombolezaji wa kweli na ikiwezekana chakula kisipite kwenye vinywa vyenu yaani iwe msiba kweli kweli wa kumulilia Mungu atende haki ikiwa kweli hajafanya majibu mtayapata hizo ndo njia watu wa Mungu wanatumia kudai haki na ukweli ukiwa upande wao majibu yatapatikana ila tu ifanyike kwa watu wa familia zaidi bila kelele za mitandao na siasa maana hapa tunaongelea kuleta haki katika Taifa na siyo haki ya Chama flani.
 
NA NDIYO MAANA SHETANI MBOWE ANAGALAGAZWA HUKO MAHAKAMANI ALIFIKIRI KILA MTU WAKUCHEZEA KILA PINAGAMIZI WANALOWEKA LINASHINDWA HAKUNA WAKILI MSOMI HAPO KINA KIBATALA WACHUMIA TUMBO TU
Mabangi is back to full throttle. 🤣 🤣
 
Serikali ya CCM haina uhalali wowote mbele za Mungu...

Kwanza kitendo cha kuiba uchaguzi tu ni laana mbaya sana..haya mengine ni mwendelezo wa laana hiyo.
 
Kuanzia mwaka ujao,statement ziwe kimaandishi na audiovisual,,bunge likae litunge hii sheria,sio watu wanaminywa korodani halafuwatoe statement's
Ni sawa kabisa, maana ushahidi utajitetea wenyewe kuliko maelezo ya kulazimisha ukili kosa hata kama hujafanya.
 
Serikali ya CCM haina uhalali wowote mbele za Mungu...

Kwanza kitendo cha kuiba uchaguzi tu ni laana mbaya sana..haya mengine ni mwendelezo wa laana hiyo.
Sawa, lakini ukijua laana ya vitendo inamaumivu makubwa kuliko ya maneno na kuandika, imagine mama anayemulaana mtoto kwa kuvua nguo zake na mama anayeongee tu nimekulaani ni laana ipi itakuwa na nguvu? Na ndicho nilichomaanisha.
 
je rulling hii au hata na ile ya kesi ndogo iliyotolewa majuzi kati unaweza kuzikatia rufaa kabla ya kesi ya msingi haijatolewa hukumu? sababu rulling hizi zina athali kubwa sana kwenye kesi ya msingi.
Huwezi, kesi ikimalizika ukishindwa ndio sasa unakata rufaa mahakama ya rufaa ndio sasa utadai hayo.
 
Huwezi, kesi ikimaliza ukishindwa ndio sasa unakata rufaa mahakama ya rufaa ndio sasa utadai hayo.
Sehemu pekee ya kupata haki ni mahakamani pekee; ila kuna mazingira hata mahakama inaweza kukunyima haki yako.

Mazingira ya hii kesi yana kila dalili tangu mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…