Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Naomba kuuliza

Ili mtu awe Jaji anapaswa kuwa na Level gani ya Elimu? Au nini kinacho mtofautisha wakili na Jaji?
 
Mbowe aondoe mawakili tu ili tujue moja.
Wadau wanasema twende hadi mwisho tujue mengi. Njia ya muongo huwa ni fupi.

Mkuu so far hayo ya mama Pendo muuza mbege pale Rau madukani ni ya kufurahisha saana...lets get the movie going.
 
Hv humu mbona nilishawashauri CHADEMA waende Zanzibar wakamsomee Albadir Mbowe, ili hiyo kesi iiyeyuke kwanini wanapuuzia ushauri wangu???

Haya...
 
Nilikuwa Nafuatilia Kesi Ya Yule Polisi wa South Africa aliyekuwa Anatuhumiwa Kuua Ndugu zake 6 ili azidai Insuarance Company, Ilikuwa Live kwenye TV ile Case, Aise Wenzetu kwenye mahakama wamepiga sana Hatua sisi ni bado kabisaa…. Ukiwa Tanzania Kama unatafuta Haki, huwezi kuipata, Utaipata kwa Mungu.
 
Ikitokea Mbowe, Akahakumiwa na Huyu Jaji, anayo Room ya Kukata Rufaa? Na ataka katika mahakama Gani?
 
Haki ya mwenyezi Mungu huchelewa and most of the time wataipata wanao ama wajukuu ila wewe utaondoka hivyo hivyo. Though ur name will be written.
 
Watanzania Japo tuliwahi kuanza kwenda Shule Lakini nafikiri kuna kitu tunakosa.

Sahizi akina Mbowe tunawaona kama Hamnazo hivi, lakini Nina amini Ipo siku tutakumbuka Mapambano Yao. Na mungu atuweke hai hichi kizazi kije kishuhudie.

Serikali Ya SISIEMU haiwezi kutuletea maendeleo kwasababu wanajua watanzania tukiendelea, tutawaondoa Madarakani. Kwahiyo wanatumia Mwanya wa Ugumu wa Maisha kutusahulisha na Mabaya yote wanayo yafanya. Siku tukija Kustuka Tutasema Tulichelewa Sanaa. Lakini Tujifunze nchi zingine Tanzania Sisi Sio kisiwa Tutafika iliko Libya, Ethiopia, Na Nchi Nyingine. Siku watanzania Wakija kuamua kuwa wamechoka, Hawata msikiliza Mchungaji wala Shehee

Naamini Ipo siku, kikubwa Tuombe Uzima, Maisha Yawe rahisi Wananchi wengi tumiliki SMARTPHONE

MBOWE MATESO YAKO HAYATAENDA BURE…
 
Hv humu mbona nilishawashauri CHADEMA waende Zanzibar wakamsomee Albadir Mbowe, ili hiyo kesi iiyeyuke kwanini wanapuuzia ushauri wangu???

Haya...
Aibu wanayoipata jamhuri ni mbaya sana, watanzania wengi hata wana CCM pia wanajua kesi hii ni fambastic...what more do u need..
 


Wadau wanasema twende hadi mwisho tujue mengi. Njia ya muongo huwa ni fupi.

Mkuu so far hayo ya mama Pendo muuza mbege pale Rau madukani ni ya kufurahisha saana...lets get the movie going.
 
Watu wanapewa ujaji kwa kujuana tu lakini kiukweli hawana sifa yoyote ya kuwa jaji na lengo lao ni kuwatumia katika mazingira kama haya.
 
Aibu wanayoipata jamhuri ni mbaya sana, watanzania wengi hata wana CCM pia wanajua kesi hii ni fambastic...what more do u need..
Tulia ujifunze sheria, usilete ushabiki wa kisiasa kwenye sheria.
 
In jiwe voice
Yaani Jaji utumie gari ya Serikali tena vii eitee, nyumba ya Serikali, mshahara wa Serikali, dereva wa Serikali, matibabu ya Serikali afu Kesi iliyoletwa na Serikali hiyo hiyo uidondoshe - hiiiiiiii
 
hivi ikitokea ametiwa hatiani, adhabu yake ni kifungo cha maisha jela au..........
wanasheria tusaidieni.
 
Mkuu vipi leo hakuna court session?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…