Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Tukimuachia Mungu ipo siku tutauliwa wote
Ni kweli hutakiwi kumuachia Mungu kama haki ipo upande wako au jambo hukulitenda, hata wenzetu wa wazamani walikuwa na maneno waliyotumia kuyaomba kwa Mungu katika mambo magumu, Sasa kama kweli hawakufanya wanasingiziwa basi Kila mmoja aombe Mungu wake awe upande wake kupigana kwa ajili yake na familia zao pia zijielekeze kwa Mungu zaidi kwa vitendo kwa hata kufunga wawaombee Ili Mungu awatetee, ila nguvu kubwa itoke kwao wenyewe kujiombea kuanzia mizimu ya Koo zao na malaika wa Mungu na Mungu haki pia awasimamie hayo yawe maombi ya kila usiku wa manane saa nane Kila siku basi iwapo wamesingiziwa haki itapatikana hata wakifungwa kama Yusuf bado haki itapatikana tu.
 
Kwa sasa hivi mawakili wanatakiwa wapambane na wawakili wa jamhuri pamoja na huyo jaji make anaonekana kuegemea upande wa serikali,wakikomaa hadi ya mwisho huenda hii kesi ikaisambaratisha mahakama!
 
Mawakili wa Utetezi Mungu yupo pamoja nanyi na Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao wanawaombea..call it a spede a spede!!Mallya huo ndy usomi kwann kwenye ukweli uogope ??
 


nimecheka sana alipo jibu "hapana"

God bless 🌍
God bless 🇹🇿
 

Hata kama ataruhusu medical examination, atayeifanya ni daktari wa mchongo tu!
Docta anaandaliwa analeta riport ambayo ni famba!
 
Hapo vipo katika maandishi ila Ili viwe na nguvu za kiroho aliye katika haki hatakiwi kuishia kuzisoma tu anakiwa kuitumia kumushitakia Mungu wale waliomushuhudia ubaya Mungu awachape kwelikweli Ili iwe fundisho.
 
Kuna watu wanakera mno wakati mwingine
 
ha ha ha ha

mawakili wa serikali wameumia kutuhumiwa kwamba wanatetea uwongo wa Jamhuri kuhusu kesi hii ili uwe ukweli, yaani wanatumia mahakama kuhalalisha.
Bora waanze kupigilia ikiwezekana na jaji aambiwe anapokea ushaidi wa uongo
 
Kama utakua na mawasiliano nao fanya hayo maelezo yawafike ndugu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…