Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

Naam,cross examination ni elimu ya Bure Kwa tusiokuwa wanasheria!
Kama Umefuatilia kesi Toka Mwanzo,na mpaka Sasa hujaongeza ufahamu kuhusu mambo ya kisheria basi utakuwa kilaza!
Si ndiyo maana katika mitihani ya masomo kuna vipanga na vilaza
 

Hatari sana hii kesi inavyozidi kuiumbua Jamhuri na watetezi wa upande wa Jamhuri
 
Ni kweli imefutwa?
Huyu Kibatala bhana huyu!
 

Kesi hii huku mtaani tunatikisa vichwa na kubaini mengi
 
Nyedo
Nyedo hoyeeeee, Nyedo saaaaafi, Nyedo juuuu
 
yaani uyu shahidi namba 13 inaonekana shule yake ndogo sana, mbona majibu yake yote ni pumba tupu? yaan hakuna lolote analolijua zaidi ya kwenda chooni, sasa sijui alishawishika na nini kwenda kutoa ushahidi! halafu eti ndio anajiita mpelelezi makini wakati hana lolote" shame on him....!!
 
Ndowo si tayari..!!
Hawa mapolisi wote ni SUKUMA GANG chini ya aliyekuwa Team Captàin wao John P. Magufuli (ameshakufa) wanapambana na CHAGGA SQUAD chini ya Team Captain wao Freeman Mbowe...

Sukuma Gang walikuwa wanamsaidia mkuu wa SUKUMA GANG ndugu yào aliyekuwa ikulu, Mwendake John P. Magufuli...

Huyu Ole Lengai Sabaya masikini alikuwa anatumiwa tu na SUKUMA GANG kutimiza ajenda zao za kisiasa...

Baada ya hapo ameshà expire na moja kwà moja wameamua kumtia gerezani...

Hebu angalia msururu wa polisi wa SUKUMA GANG waliopewa jukumu la kummaliza Freeman Mbowe...

å DCI Robert Boaz

å DPP wa wakati huo Eliezer Feleshi

å Inspector NDOWO - Maana yake NDOO

å Inspector SWILA - Maana yake nyoka Aina ya NYOKA flani hatari sana wapaao juu

å Inspector MALANGAHE nk nk

That was really dangerous..
 
Mkuu kwanza nikushukru kwa mchango wako, Jambo ambalo ninaliona kwa mtazamo wa kisheria unapokuwa unajib maswal hasa ya kibatara unahitaji utulivu wa akili vzr ndo anachofanya swila, kiumla ametulia, hujawahi kuwa mpelelezi/ police ila huwa Kama kunakazi ngum Ni kwenda kutoa ushahidi.

Wakili anachofanya nikuhakikisha anaku contradict information, ili kuwa na false, au, erase ndo kazi ya mtetezi umemsikia jaji anasema ili mwisho wa kesi ajue anapata wapi reference, so far swila kwangu nampa pongezi ametulia mno, na kujib maswal ya kabatara Kama si mtulivu, unaweza kujikuta una erase nyingi.
 
Endeleeni tena kumnoa vizuri usiku huu kazi anayo tena kesho asisahau pampas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…