Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

Hii kesi inaonesha Afande Boaz alipokea maelekezo kutoka juu wakati wa Joto la uchaguzi
 
Reactions: LGF
Hii kesi inaonesha Afande Boaz alipokea maelekezo kutoka juu wakati wa Joto la uchaguzi
Your reasoning is correct but the conclusion is wrong. Kama unachosema ni kweli Mbowe si angekamatwa kabla ya Uchaguzi? Waliwawahi, kwa hiyo hawakuwa na haraka. Ni yeye (mbowe) ndiye joto lilimfanya aapize kwamba watachukua dola kwa njia yoyote ile. Akachukua makamando 6 yalipue masoko na sheli yalete taharuki nchi nzima nchi isitawalike. Ndipo wangeandamana nchi nzima wapigakura ili wawape kura zao. As I said, wakawawahi, Alhamdullilah! Kitu kimoja ningenda kuona minutes za vikao vya Kamatikuu ya Chadema, ile inner circle ya mbowe iliyojaa mahomeboys homegirls na wachache wa nje na mgombeamwenza. Ningesema nao wawakamate but what for? Walishawawahi.
 
Walikuwa wanasua sua tu wakiendelea kutafuta timing
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…