Yaliyojiri Mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi yaahirishwa hadi 19/01/2022

Dhamira ya mboe ilikuwa ni kuvuruga amani na utulivu wa nchi kwa kuwatumia watu waliopata mbinu za kijeshi.
 
Dhamira ya mboe ilikuwa ni kuvuruga amani na utulivu wa nchi kwa kuwatumia watu waliopata mbinu za kijeshi.
Acha upungufu wa matumizi ya akili wakunyooshewa kidole ni wale Kwa makusudi walihatarisha usalama wake, ili kumdhoofisha na kushindwa kuhakikisha usalama wa maisha yake na mali zake.
 
🤣🤣🤣mawakili wa jamhuri wanadhani manyaraka mengi yataeadaidia. They believe in quantity
 
doh,
 
Huyu ushungi Ni katili Sana,bado anamgagania mtu wa watu Mbowe, anamtesa bure masikini. Bado anavaa maushunghi eti anatimiza matakwa ya dini na Ni muislamu anayetimiza uadilifi Kama dini inavyomtaka
 
Hata Comte anajua Kwa mwendo huu hata yeye ni rigaidi🤸.
Mkuu upande wa mashitaka wanaenda mdogo mdogo ila kwa akili sana- naona Mwamba anagaidishwa na atafungwa kwa ushahidi usio na mashaka.
 
Mkuu upande wa mashitaka wanaenda mdogo mdogo ila kwa akili sana- naona Mwamba anagaidishwa na atafungwa kwa ushahidi usio na mashaka.
Kwa kuwa mpo na dola yote yanawezekana🤔.
 
Yani Bavicha wamemsusa kabisa Mbowe?

Inakuwaje uzi wake una coments 30 tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…