Yaliyojiri Mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi yaahirishwa hadi 19/01/2022

Ninafuatilia sana hii kesi Ila bado sijaona shahidi aliye thibitisha ugaidi Wa hawa jamaa.Au kuna kuviziana kisheria? Maana wengine hatujui Sheria.
 
Hapa sasa jamaa lazima aende haja.. Maswali yameanza sio ule ushuzi wa Hila
 
Acha upungufu wa matumizi ya akili wakunyooshewa kidole ni wale Kwa makusudi walihatarisha usalama wake, ili kumdhoofisha na kushindwa kuhakikisha usalama wa maisha yake na mali zake.
Mboe lazima atalipia kwa matendo yake maovu ya kuvuruga amani ya nchi yetu.
 
Kwa hiyo sasa umebadili siyo ugaidi tena. Duu!
vitendo vya kuvuruga amani ya nchi ni ugaidi.
inadaiwa alikuwa anapanga mipango ya kuleta machafuko na taharuki kwa wananchi ilimradi tu amani ya nchi itoweke.
Huyu mboe inabidi aangaliwe kama kweli ni raia wa Tz au ni mlowezi, kwa mtanzania mwenye damu halisi ya kitanzania hawezi kuthubutu kuitendea nchi yake mambo maovu kama alivyo kuwa amedhamiria mboe.
 
Masaburi akili zake ni mavi! amka acha kutumia masaburi . Au ubongo ulimkabithi aliyelala futi sita kule chato
Kama ulidhani utanufaika na matendo maovu ya mboe basi unapaswa ujue kuwa mwisho wake umefika, wewe uliye ponea chupu chupu ni bora kwa sasa utubu maovu yako.
 
Jitu linatafuta makomandoo walio achishwa kazi na hata kuwarubuni ambao sio waaminifu.....lengo lake ni either kupindua serikali au kuchafua amani ya nchi!
huyu mtu hapaswi kabisa kuchekewa.
ikibainika anayo hatia basi awe fundisho kwa wafuasi wake na wenye uchu kama wake.
 
... una maslahi gani na hii kesi?
Una akili timamu- ok kwa kifupi ni hivi wazazi wake na Mbowe walihamia kutoka Malawi baada ya kuwadhurumu wazazi wangu mali na kuhamia Moshi.
 
Mboe lazima atalipia kwa matendo yake maovu ya kuvuruga amani ya nchi yetu.
Tulia kwanza kwa muda kidogo .....sasa andika vizuri jina la Mbowe...ni hilo tu sina la ziada..
unaweza kuendelea na mambo yako.
 
Nashon; unafahamu maana ya PF135 ni ku establish chain of custody?

Shahidi; mimi sijui aliyeiweka hiyo.

Nashon; kwahiyo hii labeling imefanyika kinyume cha sheria?

Shahidi; mimi sifahamu.
 
kama ulidhani utanufaika na matendo maovu ya mboe basi unapaswa ujue kuwa mwisho wake umefika, wewe uliye ponea chupu chupu ni bora kwa sasa utubu maovu yako.
Wa kutubu ni wewe uliyezoea kuua na kupoteza watu! Your days are numbered!
 
Mallya: Shahidi wakati watuhumiwa walikamatwa walisema walikutwa na Madawa ya Kulevya na Simu kisha simu Ikatajwa kuwa ni Tecno na ina IMEI number fulani, je Simu yenye IMEI number hiyo uliletewa?

Shahidi: simu yenye Imei Number hiyo sikuifanyia kazi

Huu ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…