Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Manzese Dar: Hashim Rungwe(CHAUMA) Azindua Ilani, Kutoa Chakula bure Shuleni na Hospitalini. Kujenga mfereji wa Maji ya Bahari dar-Dodoma

Ila sasa kapanda msanii stage yake ikadondoka....jukwaa lake simple kabisa kama Mimbari ya mkoloni
 
Nyomi kuliko ya NCCR Mageuzi, dah ubwabwa kwa kwenda mbele
 
Hashim Rungwe kauza mechi. No ubweche
 
Inawezekana.
 
Chama cha CHAUMMA kimeonesha nyota njema katika uzinduzi wa Kampeni zake ambapo Chama hicho pamona na NCCR MAGEUZI vimezindua kampeni zao Dar es Saalamu maeneo tofauti
Chauma kimepokelewa na Idadi kubwa ya wananchi kulinganisha na NCCR MAGEUZI ambapo imeonekana kuwa na umati mdogo
Kwenye mkutano wa CHAUMMA wananchi wanaoenekana wenye tabasamu
Kilicho jitokeza Leo kinaweza kuakisi CHAUMA kushika nafasi ya juu dhidi ya NCCR MAGEUZI kama wataongeza juhudi na kufanya kampeni Nchi nzima
 
Dah nimecheka kama mazuri vile 🀣🀣🀣 no retreat no surrender
 
Mimi nimeelewa ilani yake walikuwa very straight kuelezea sera zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…