Yaliyojiri mechi ya Simba na Mtibwa sugar tar. 14/03/2015

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Leo tena uwanja wa Taifa kutakuwa na mpambano wa kukatana shoka kati ya Simba SC vs Mtibwa suger.

Mpambano huo utakuwa muhimu sana kwa kila timu, kwani timu zote zitakuwa zinasaka point 3 ili kujiweka katika mazingira mazuri katika msimamo wa ligi.

Naitakia Mtibwa ushindi mnono katika mchezo wa leo.

FULL TIME SIMBA 1-0 MTIBWA. mfungaji Emanuel Okwi dakika ya 90.

Hongereni simba kwa ushindi.
 
Hilo harina ubishi kama simba leo atafungwa huwa wanakamia timu ya yanga pekee!
 
Mtibwa timu piga hiyo mikia irudi kwao bunju ikalime shamba lao la viaz.
 
Simba Leo tunawatafuna wakata miwa wa turiani morogoro
 
Pole zenu ambao mna machozi ya kuchezea wilki iliyopita mliishangilia Yanga mkalia navleo mnatafuta mcba kwa kuishangilia mtibwa na kifaru wenu
 
Mnyama mkali wa porini kama uliweza kutafuna malapa ya kijani na njano yaliyoisha na yamejaa matope ya pale jangwani na hukuwa na kinyaa kabisa kwa nini ushindwe kutafuna mali ghafi inayotengeneza sukari kutoka kwenye mashamba ya Manungu?
 
Mnyama mkali wa porini kama uliweza kutafuna malapa ya kijani na njano yaliyoisha na yamejaa matope ya pale jangwani na hukuwa na kinyaa kabisa kwa nini ushindwe kutafuna mali ghafi inayotengeneza sukari kutoka kwenye mashamba ya Manungu?
 
Kuna hujuma Yanga wamekata matangazo...
 

Kombe gani hilo mkuu? Sisi simba tulishachukua kombe la VPL juzi
 
Simba inanifurahishaga ikiimungunya Yeboyeho tu lkn kinyume nahapo namuimbea yamkute mahafa tu. Nawaomba Mtibwa wanilindie heshima yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…