DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Mkuu hivi ATN ipo kwenye king'amuz cha azam TV na kama ipo ni channel no ngapnimepata Habari ATN wanarusha huu mtanange
Mkuu hivi ATN ipo kwenye king'amuz cha azam TV na kama ipo ni channel no ngap
Radioni mpira ushaanzaMwenye uhakika basi atujuze mechi inaonyeshwa channel gan?
Kweli Malinz ni jipuTFF wamefanya uhuni wameingia mkataba na ATN
TFF wameipa kandarasi TING ndiko kuna ATN wanaonesha gameAzam wamesha ishiwa .
Mkuu kwa king'amuzi cha Azam sijawaona ....wanapitikana kwenye king'amuzi chao cha TIngMkuu hivi ATN ipo kwenye king'amuz cha azam TV na kama ipo ni channel no ngap
Radio ganRadioni mpira ushaanza