Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Kuna thread alianzisha mtu mmoja anaitwa komeo la chuma masaa 11 yaliyopita ikiweka wazi matokeo ya mechi hii kwamba yanga mbili simba 0 na amewatakia weekend njema wote.
 
Watani kuna maisha baada ya kufungwa na dar young africans poleni ndo mchezo.
 
Hiyo ndio camp ya Pemba bhanaa hakuna hata sare daah wapemba wabaya
 
Yanga msishangilie huu ushindi kwa sababu mmebebwa huyu mama aliwai kuwabeba mlivocheza na mby city nashangaa tff kwa nin mechi zote za yanga wanamwachia huyu mama mwanayanga kabisa chuyu
 
Sio kweli refa kachezesha vizuri tu tatizo, kadi mbili za njano kwa makosa yaliyotokea ni sahihi kabisa baadae nyekundu. Poleni sana simba
 
Sio kweli refa kachezesha vizuri tu tatizo, kadi mbili za njano kwa makosa yaliyotokea ni sahihi kabisa baadae nyekundu. Poleni sana simba
Wapi we uyo refa ana kadi ya yanga kabisa kwenye mechi ya yanga na mbeya city alikosolewa sana na wachambuzi kama Leo tu kashindwa kumuona Abdul alimvosodoa mkude palepale nyuma yake
 
Ninyi mnaoshangaa washabiki wa Yanga kuzimia,huenda hamkua jirani na The late MJ, Michael J.

Hile ni excitement, hadi mtu anapoteza.
 
Ninyi mnaoshangaa washabiki wa Yanga kuzimia,huenda hamkua jirani na The late MJ, Michael J.

Hile ni excitement, hadi mtu anapoteza.
Hakuna cha excitment...wote walio zimia hawajui kama wameshinda....
 
Umefanya vzuri kwa ku update. Yaani kwa hilo nakupongeza maana hukuacha kitu
 
Okwi boban sunzu umeutendea haki uzi wako
 
Watu wa simba bwana...! Eti ukiwaulizia "Vipi matokeo" wanasema "shule za private zinaongoza"
Tutegemee hilo nalo kuibuka kwenye bunge la mwezi wa nne. "Mh. Spika tunapozungumzia wawindaji haramu hata Yanga wanahusika, tumeshuhudia wakiua Simba uwanja wa Taifa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.
Spika: Waziri wa maliasili na utalii msjibu!
Waziri: Mh. Spika napenda kuhakikishia bunge lako tukufu kuwa simba kuliwa na Yanga ni halali na wana kibali cha kumwinda kwa zaidi ya miaka 80 sasa.
Wabunge: makofi wawaaaa wawaaa wawaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…