Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Kumbe jf amnaga mashabiki wa vyura fc.
Ata nifah ni mtangazaji na cyo shabiki
 
Viungo wetu leo wamepoa sijui ni fatique au nn
 
Hahahaaaaaa mkuu enzi hizo sikuwepo [emoji85]
Nimeanza kuishangilia Yanga nikiwa std 1 mwaka 2000!
Yaani kabla watani hawajaja na kidedea sisi tulikuwa tunashangilia CCM CCM CCM CCM...!!Ulikuwa ukisikiliza kwenye radio na kudikio hiyo kelele ya CCM CCM CCM basi ujue Yanga katupia.
 
Kumbe jf amnaga mashabiki wa vyura fc.
Ata nifah ni mtangazaji na cyo shabiki
Mimi ni shabiki,mpenzi wa Young Africans S.C Ningeweza kukaa kimya,ila nimekuambia ili kuweka kumbukumbu sawa.
 
Hawana lolote mkuu,hawa wepesi sana bora Kagera tulikuwa na pressure dakika zote 90.
Hahahahaha. Kagera walinitesa kweli yani. Niliamua kuacha kufuatilia matokeo hadi kipindi cha michezo efm
 
Mbeya City wamefanya shambulio la kushtukiza lililozaa kona mbili ambazo hazikuzaa matunda.
Bado Yanga wanaongoza kwa goli 1-0.
 
Mimi ni shabiki,mpenzi wa Young Africans S.C Ningeweza kukaa kimya,ila nimekuambia ili kuweka kumbukumbu sawa.
Sawa kama umejiweka wazi.
wenzio wanasubirig kombe kama lisipo patikana utasikia sina timu ya kushabikia bongo.
 
Yanga wakiongozwa na Kesi wamefanya counter attack ya hatari sana,dah.
Haikuwa bahati tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…