Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Nasikiliza radio one inaonekana huyu mtangazaji Maulid Kitenge ana maslahi na Yanga, maana simwelewi elewi.
 
internet hakuna streaming?kama kunayo tupeni link
 
Nasikiliza radio one inaonekana huyu mtangazaji Maulid Kitenge ana maslahi na Yanga, maana simwelewi elewi.

huyo ni Simba damu, mpaka sasa Simba anapumulia mashine.
 
Hapa katikati Yanga kuna Chuji, Domayo na Niyonzima. Hawa huwa hawafanyagi makosa.
 
Tupeni raha mlioko uwanjani nasi tujisikie kama tuko hapo maana JF ndo mpango mzima!
 
Singano anapga shuti la kitoto sana. Bartez anadaka mpila.
 
Anakosaaa pale Hamis kizza, alikuwa yeye na kipa tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…