nakasirika sasa
unaambiwa goli kama la asamoh gian,pumbv yanga
wataka raha tu weye..
nakasirika sasa
Mbele kwa mbele !!!komaeni ndio uanaume huo!! Golini kuna shati tu Bartez,yanarudi hayo!!!!
kamebaki kamoja
Muda si muda yote yanarudi, waiteeer lete kinana nyingine.
Ulikua wapi wewe kiumbe?wataka raha tu weye..