JF tuache hayo mambo banam inaonekana uwongozi wa JF ni Simba wote, mbona Yanga walivyofunga Goal zote tatu hamkuweka update kwenye post ya kwanza??ila now amerudisha Goal 2 mnaanza kuweka updates khaa
usiogope mpira dk 90Bado viwili kabisa
Yanarudi yote mkuu wala usihofu.kamebaki kamoja
Baada ya dk 90itakuwa simba3 yanga2
Muda si muda yote yanarudi, waiteeer lete kinana nyingine.
si tunataka dro tu,hii ilikuwa aibu
Kinana sa zile zilikuwa hazinyweki