vipi .. mbona leo hatupati penalty?
Hahahaah! Kaja kuwatafuta wadau wake huku.Faizafox hapa??!! Am out of here!
wamekata umeme :A S-eek:
Simba wakishinda nahama JF
Hahahahahaha! Yanga serikali iyo. Tulieni
utahamia wapi?
kama ulikuwepo,natani uishe kabisaYanga wanaomba mpira uishe
nilikosea kupiga salutiYanga wanayakosakosa hapo