Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Simba wanafanya sub

Anatoka Mwombeki, anaingia Zahoro Pazi
 
Naona sasa hivi wamerejea kwa nguvu zote............Mashabiki maandazi

kaka wala si maandazi, kumbuka tungetangulia sisi, na wewe ungekaa kimya mkuu

utamu wa jukwaa ni kuongoza, sasa mwizi kakimbizwa kimya kimya leo
 
ha ha ha ha!yule babu alisema draw ya 3,3 au masikio yangu yana matege?
 
Mpira umekwisha,Simba 3-3 Yanga.Hongera sana simba kwa juhudi mlizozionyesha,.
 
Hapo uzembe mkubwa sana Yanga. Hakuna cha Kibadeni wala chochote. Ni uzembe kuachia match iishe kijinga jinga namna hiyo

Mkuu hata kipindi cha kwanza ilikuwa ni uzembe wa Simba pia, kwa hiyo lazima tuone Kibadeni kwamba amefanya kazi kucome back na kurudisha magoli yote matatu sio kazi ndogo.
 
Kitenge mwenyewe haamini yanayotokea, anakwambia Kocha wa Yanga naye ameingia kwenye mtego wa mashabiki wa kuona walivyoongoza tatu bila wakaona wamemaliza kila kitu walisahau kwamba mpira ni dakika 90.

Ushabiki wa Kitenge huwa haujifichagi...yani ata akiwa kwenye kipindi basi lazima uone tu anawapendelea Yanga...atakufa kwa presha........ Mpira Umekwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwissssssssssssssssshhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Inauma sana, coach wa Yanga alifanya kosa kubwa kumtoa Kiiza, tumepotea hapo. Hongereeni Simba kwa kukomaa.
 
Ikimbukwe kuwa timu yangu tukufu kabisa toka ndani ya moyo wangu kuwa haijafungwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…