Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
KIKOSI CHA MAUAJI HII LEO UKIPENDA KIITE DORIA 7:

1.Ally Mustapha 'Barthez' - 1
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 3
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' - 23
5.Kelvin Yondani 'Cotton' - 5
6.Athuman Idd 'Chuji' - 24
7.Haruna Niyonzima - 8
8.Frank Domayo 'Chumvi' - 18
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Mrisho Ngassa - 17
11.Hamis Kiiza - 20

Subs:
1.Deogratius Munishi 'Dida' - 30
2.Juma Abdul - 12
3.Oscar Joshua - 4
4.Rajab Zahir - 14
5.Saimon Msuva - 27
6.Nizar Khalfani - 16
7.Jerson Tegete - 10
 
Hahahaha!
Naona umehamia airtel au siyo!
 
Kikosi cha ushindi kabisa
hiki, maana naona Issa Rashid, Amri Kiemba na Zahoro Pazi wataingia
kumalizia kazi ambayo iatkuwa imeanzishwa na Singano, Chanongo na
Tambwe.

Endelea kuona hivyo hivyo...
 
Ushauri wa bure kwa TFF. Inapotokea mpambano wa Simba na Yanga, zisiwepo tiketi za buku tano. Ziwe buku ishirini! Watu watajua kima cha chini ni buku ishirini. Hizo za buku tano zinazouzwa buku ishirini leo, wanaweza kutokea wababe wakagoma kulipa na kusababisha ugomvi, vurugu mtafaruku na sintofahamu! Maana zimeandikwa buku tano! Zinauzwa buku ishirini! Ugomvi utaanzia hapo. Halafu keshokutwa mnataka kwenye uchaguzi mchaguliwe kwa miaka mingine minne muendelee kuwaibia wadanganyika? Dawa yenu inachemka TFF, kesho nadamkia kwa JK kuwachomea! Mkapa hakuwajengea uwanja mtuibie! Wezi wakubwa ninyi!
 
Nasikia eti Ngassa hajawahi kuifunga Simba wakati akiwa Yanga na pia Yanga haijawahi kusinda kaitaba kwa kipindi cha miaka10...........................
 
Nasikia eti Ngassa hajawahi kuifunga Simba wakati akiwa Yanga na pia Yanga haijawahi kusinda kaitaba kwa kipindi cha miaka10...........................

Simba haichezi na Ngasa peke yake bali itacheza na wachezaji kumi na moja wa Yanga.
 

wanakera zaidi ya kukera! hao viongozi wa tff before nilkuwa nawaamini sana yani, kumbe hakuna kitu, mtu unaweza kujikuta ukakufuru kwa kusema bora FAT ya akina ndolanga.
 

Hatareee!!!
 

Yanga anachomoka vipi hapa
 
Bado dakika nane mtanange uanze.
kaeni mkao wa furaha wanajangwani wote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…