Yaliyomo Yamo?

Kitoto Akisa

Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
53
Reaction score
5
Mambo!
Mimi i mwanachama mpyaaaaaaaaa katika kndi tafadhali nikaribisheni ili nami niweze chagia na kuibua changamoto mpya na kujenga jamii yetu. Wazeyaaaa yaliyomo yamo?
 
Karibu jamvini.
Hapa hamna cha mgeni siku ya kwanza wala ya kumi,
twakukaribisha kwa mikono miwili na kuanzia sasa umeshakuwa mwenyeji.
 
Kitoto! haya bana dugu, kaa ufuate sharia za huku ufaidike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…