Yaliyomo yamo

Injinia

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
849
Reaction score
28
Hiki kipindi nimekisikia kwa mara ya kwanza nilivyokua Bongo kwa likizo mwezi Desemba. Kilinikuna sana moyo

Wale wadada watatu Regina Mwalekwa na wenzake, ni mahiri sana katika kukiendesha. Naweza kusema ni kati ya vipindi bora vya redio Tanzania. Wana uwezo wakugusa sehemu mbali mbali za jamii.

Je wewe? Je unakipindi cha redio unachopenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…