dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Habari wanakijiji wenzangu,
Imekuwa kawaida humu ndani mtu kumkubali mwingine au pengine kutomkubali.
Mara nyingi bila hata kuwahi kuonana uso kwa uso au kuona picha za mhusika.
Watu hutoa sababu za kumhusudu au kutokumkubali mwingine kutokana na michango yake au misimamo yake katika maswala ya mlengo fulani.
Hata hivyo, maranyingine tumekuwa tukihusisha tabia, misimamo au muelekea wa mtu fulani kwa kulinganisha 'avator' ya mhusika tu kuwa huenda ni mtu mwenye tabia na muenekano fulani,
Ingawa zote hizi zinabaki kuwa ni hisia tu, Nikimanisha kuwa tunaweza kuwa sawa, sawa-kidogo tu ama tena tusiwe sawa kabisa.
Tukiipa nafasi imani hiyo ambayo haina ushahidi wa kisanyi wa kuwa sahihi ama si sahihi hembu tujaribu kuambatanisha rangi za muonekano wetu ili kujumlisha na vile viashiri vingine vya michango,misimamo na avator ili tupate nafasi zaidi ya kubashiri kwamba yale tuliyokuwa tukihisi ni sahihi ama ni makosa kumhusu mtu fulani.
Bashiri rangi ya mtu na muombe akujibu kama yaliyomo yamo kwa kuandika namba inayohusu au unaweza kuweka rangi yako tukufahamu.