Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
kama amenizidi si atakuwa ananipa hata kichapo? Heheh! Bora nioa kadogodogo kuliko lidude hiloo na mchina juu.Ifike mahali tubadilike jamani mwanamke kukuzidi umri si kikwazo cha mapenzi maana kuna wanaume wengine walivyo inabidi wawe na mahusiano na wanawake waliowazidi umri ili waweze kuwaongoza vyema
kama amenizidi si atakuwa ananipa hata kichapo? Heheh! Bora nioa kadogodogo kuliko lidude hiloo na mchina juu.
TOOOOOOUUUUUCHHHHH! dadadadadadeki!!!!!!dogo......utachezea koki sasa hivi
Bujibuji kapeleka kulitambuliosha kwao li jimama lililomzidi miaka mitano.
Jimama lina mtoto mmoja, bujibuji hana mtoto wa kusingiziwa.
Ndugu wamemkataa kata kata jimama hilo, lakini mwenzetu bujibuji anadai kwamba roho yake hapo imefika, na huyo jimama wanaendana tabia zao zote.
Binafsi nimemwambia bujibuji ashikilie uzi huohuo ilhali wanapendana kwa dhati.
Umri wa weanandoa si kipimo cha ndoa kudumu muda mrefu.
Nyie wenzangu mnamshaurije huyu kaka yetu?
dogo......utachezea koki sasa hivi
Mkuu mwaga minyuziiii tuje kula beche!!Haujaamia Honolulu??jamani kina chakubanga mbona mnanisakana hivyooooooo?????