Yaliyompata mwenzetu jana usiku club

Bujibuji you are killing me my dear, mbavu zangu zenyewe za kichina
 
hahahaha bujibuji.. jamaa alikuwa na mwisho wa dunia mbaya kweli.... anabahati sir god ame suspend sio may 21 tena!! ... :A S 103:
 
21 May 2011, ndio mwisho wa dunia...! Dah! Sijuo ziraili kasahau.
 

mwenzetu unaenda wapi? mbona hufiki

Asante kwa kutuwekea picha ya bujibuji, naona anatafuta sehemu ambako watu wesha nyakuliwa na hiki kiama ili akarithi majumba na magari kama wafuasi wa Mashahidi wa Yehova
 
He he he mwoga huyo,angejikunja tu.inawezekana mama mtu mkali kinoma,tena kama ni kibogoyo angempa bj ya kufa mtu
 
Kweli mshkaji jasiri, yaani kazimia tu alitakiwa afe hapo. dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…