Yaliyonikuta Facebook, Sitamani Nawewe Yakukute..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Mwaka Jana Tarehe Kama Ya Leo Nilikuwa
Nimeweka Profile langu Team Likerz Yani Nilikuwa Na
Like status Ni balaa. Sasa Siku Moja Kuna Dem Mmoja
Aka Ni Add Jina Namuweka Kapuni Kwanza Nikaingia
Kwenye Wall Yake Nika Like status zake zote
nikafuata picha zote nika like Lakini Chakushangaza Alikuwa Ameweka Picha Mbili Moja Ya rihana
Nyingine Ya pete. Alafu huyo demu alikuwa hapati
like Nying kwenye status zake. Kimoyo moyo
Nikasema Hili zali sababu huwa kuna kamsemo fb
kwamba Madem wanaopata Like ndogo ni walaini.
Nikazama Inbox Nikamwaga Madini dem akalainika tupa sana voko dem akanipa hadi namba ya simu Asee.
Mimi nilikuwa dar huyo binti alikuwa arusha. Tukawa
tunachati sana full sex chat yani mpka wakati
mwingine tango langu lilikuwa linasimama
lenyewe. Lakini changushanga huyo dem alikuwa
hataki nimpigie simu nikimpigia simu anakata lakini sikufa moyo tukaendelea mapenzi yetu mpaka siku
moja tukapanga tuonane. Nikwambie aje dar
akakubali nikamtumia pesa ya nauli mtoto na pesa ya
kula njiani. Mimi nikawa nimeenda mliman city
nikamwambia ukifika ubungo kwakuwa wewe ni
mgeni chukua taxi mpka mliman city. Kama kawa kidume nikiwa kwenye Meza mliman city napata milk
shek baridi huku nachat nahuyo mtoto mara
akaniambia ameshafika daah nilifurahi sana nikwambia
mimi nimevaa t-shirt nyekundu suruari nyeupe nimekaa
kwenye Meza ikapita kama dakika 5 nikaona kuna
jamaa mwenye Miraba kama nane kaja kukaa kwenye ile meza nikwambia oya broo kiti cha mtu
hicho mara akanijibu kwa sauti laini nyororo ndio mimi
baby.. Mmh nikashituka nikaendelea kuchati naona
huyo jamaa anajibu ndio mimi hapa baby tumekaa
kwenye Meza Moja nilitetemeka sana Nikaona haya
Majanga sasa Nikasepa Mara Hilo shoga Likaanza Kupiga Kelele Baby Baby Mpenzi wangu Unaenda wapi
My love watu Wapale Mlimani city wakashangaa sana
likanikimbilia nakunikumbatia huku likinibusu asee
nilichomoa beto piga sana mabeto ya mgongo
likaanza kulia kama mbweha !
''mamama mayuuu uwii ohohoh'' wasamalia wema wakaliokoa Najuta...
-
N.B
Hii Story Haina Ukweli Wowote Ni Njaa Zangu
zinanisumbua Ni Mauongo Nimetunga Unaweza
Kucoment Ukaendelea na ishu zako Zingne.
 
He,heh..japo ni uongo lakin imeniongezea siku za kuishi
Eb tufanye ingekua ni kweli hyo njemba ungeifanyaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mno!
 
Hahahhhh yaan kabla sijafungua nilijua tu ni ww ayo mambo fb yamejaa sana zamaan watu walikua wanapigwa sana hela
Hahahahah sa ulijuaje kama nimimi hahahah....
Hataivyo naona skuizi watu kidogo wamejirekebisha
 
He,heh..japo ni uongo lakin imeniongezea siku za kuishi
Eb tufanye ingekua ni kweli hyo njemba ungeifanyaje?
Hahaha si umeona hapo nilivyojitahidi kujinasua kwake mpaka watu wakaja kutuamua??
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mwaka Jana Tarehe Kama Ya Leo Nilikuwa
Nimeweka Profile langu Team Likerz Yani Nilikuwa Na
Like status Ni balaa. Sasa Siku Moja Kuna Dem Mmoja
Aka Ni Add Jina Namuweka Kapuni Kwanza Nikaingia
Kwenye Wall Yake Nika Like status zake zote
nikafuata picha zote nika like Lakini Chakushangaza Alikuwa Ameweka Picha Mbili Moja Ya rihana
Nyingine Ya pete. Alafu huyo demu alikuwa hapati
like Nying kwenye status zake. Kimoyo moyo
Nikasema Hili zali sababu huwa kuna kamsemo fb
kwamba Madem wanaopata Like ndogo ni walaini.
Nikazama Inbox Nikamwaga Madini dem akalainika tupa sana voko dem akanipa hadi namba ya simu Asee.
Mimi nilikuwa dar huyo binti alikuwa arusha. Tukawa
tunachati sana full sex chat yani mpka wakati
mwingine tango langu lilikuwa linasimama
lenyewe. Lakini changushanga huyo dem alikuwa
hataki nimpigie simu nikimpigia simu anakata lakini sikufa moyo tukaendelea mapenzi yetu mpaka siku
moja tukapanga tuonane. Nikwambie aje dar
akakubali nikamtumia pesa ya nauli mtoto na pesa ya
kula njiani. Mimi nikawa nimeenda mliman city
nikamwambia ukifika ubungo kwakuwa wewe ni
mgeni chukua taxi mpka mliman city. Kama kawa kidume nikiwa kwenye Meza mliman city napata milk
shek baridi huku nachat nahuyo mtoto mara
akaniambia ameshafika daah nilifurahi sana nikwambia
mimi nimevaa t-shirt nyekundu suruari nyeupe nimekaa
kwenye Meza ikapita kama dakika 5 nikaona kuna
jamaa mwenye Miraba kama nane kaja kukaa kwenye ile meza nikwambia oya broo kiti cha mtu
hicho mara akanijibu kwa sauti laini nyororo ndio mimi
baby.. Mmh nikashituka nikaendelea kuchati naona
huyo jamaa anajibu ndio mimi hapa baby tumekaa
kwenye Meza Moja nilitetemeka sana Nikaona haya
Majanga sasa Nikasepa Mara Hilo shoga Likaanza Kupiga Kelele Baby Baby Mpenzi wangu Unaenda wapi
My love watu Wapale Mlimani city wakashangaa sana
likanikimbilia nakunikumbatia huku likinibusu asee
nilichomoa beto piga sana mabeto ya mgongo
likaanza kulia kama mbweha !
''mamama mayuuu uwii ohohoh'' wasamalia wema wakaliokoa Najuta...
-
N.B
Hii Story Haina Ukweli Wowote Ni Njaa Zangu
zinanisumbua Ni Mauongo Nimetunga Unaweza
Kucoment Ukaendelea na ishu zako Zingne.
Duh,ivi ajira mpya lini?
 
Back
Top Bottom