Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Mkewe.Poleee yake akaamua kuselfika
Ebu fanya uje hapa makuti bar upoze koo bibi....[emoji39][emoji39]Babu nimekumiss upo nalinjilinji au umehamia ushirombo
Nipo hapa mtaa wa mwanachugu nakula nyama choma.....
Ebu fanya uje hapa makuti bar upoze koo bibi....[emoji39][emoji39]
Yule jamaa wa matunguli amsaidie kushinda.Hahahahah wewe nipo naangalia hapa roman reign anavyopigwa roho yauma
Yule jamaa wa matunguli amsaidie kushinda.
Ukimaliza uje huku Titanic Pub upige Dompo kadhaa.Nipo hapa DM HOTEL ngoja nitafute boda
Ngoja nipige mazoezi nitakwenda siku moja kupigana nao.Waoooh amewapiga wajinga hawaaa walikuwa 3 kawachakaza vibaya
Karibu sana bibi....[emoji39][emoji39]Nipo hapa DM HOTEL ngoja nitafute boda
Asante sana mkuu kwa kuniwekea picha yangu
😂😂😂nna bando la mweziHizi nguvu za kuweka bundle kazipata wapi[emoji23]
AiseeeHahahhaha Uzi bila picha ni sawa na kupiga nyetooo bila kufika kitongaa
Mzururaji wewe mpaka ushirombo? ulienda kuchenjua mchanga?? Nimezulumiwa kiji eneo na kigogo namba mmoja pale nipo handeni kwa bibi kumshughulikia.Babu nimekumiss upo nalinjilinji au umehamia ushirombo
AiseeHahahhaha Uzi bila picha ni sawa na kupiga nyetooo bila kufika kitongaa