Yaliyonikuta pande fulani hivi Buhongwa

Yaliyonikuta pande fulani hivi Buhongwa

Reptilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
867
Reaction score
847
Habari mabibi na mabwana yu heri wa afya natumai hivo,

Kwenye yanga sc na USM Alger( A.K.A KWENYE 1- NA- 2) kulingana na uchumi wangu ulivyo uki compare na gharama za madem wa siku hizi bila pesa huwezi kumiliki demu nikaona isiwe kesi kwangu niliamua kujicode mitaa fulani kwenda kupunguza kipururu cha genye coz hilo chimbo nililiskiaga kitambo.

Ikabidi niende nikabahatishe , nilpofika mitaa ile ni kwel pamechangamka kiaina nikazama ndichi nikawakuta masister kama dazan hv basi pale wakaanza kujibrand basi mi nikaibuka na mmoja mwembamba hvi mweupe (ndo ugonjwa wangu) japo kakofti kiaina sikumuona vzr mwanzo coz ilikuwa gizani ,basi akanivuta kama kokolo hadi kwenye kachumba kake.

Kabla hajavua akaniambia nimtoe pesa yake dah kumbe bhana walikuwa wameshapandisha bei kulingana na uchumi wa mama nikamtoa 3000 akagoma ikabidi nigalalize nimuongeze 500 ndo akakubali kumbe bei elekezi ni 4000 sikulitambua hilo mwanzo.

Palepale bila kuchelewa zoezi pendwa likaanza baada yakuvalishwa ndom cha kushangaza mjomba nchumali hakusimama yaani aligoma vilivo mpaka nikashtuka leo nipatwa na nin mimi nilijaribu kulazimisha lakin wapi.

Mpaka yule sista akaanza kunitisha et maeneo hayo huwa wanakuja maaskar kwahiyo tukikutwa itakuwa hatari nitaenda kunyea debe central kiufupi alinitisha sana zaidi ya hayo ya polisi nilitoka niwa mnyonge sana kwa kuionea huruma hela yangu, si bora ningekula ugali na nyama choma tu.
 
Shida ya malipo kuwa kabla ya kazi ndiyo hiyo. Ingekua ni baada ya kazi ungerudi na hela yako[emoji41]
 
Demu wa elfu nne bro unaweza kusimamisha??? Hapana Mwamba.. dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema tena na tena. Na mbaya zaidi ni hapo kwa hapo. Ni kama mtoto ametumwa kununua dawa ya mbu haraka baada ya wageni kuja ghafla. Mademu wa bei hiyo ni wale waliochokwa sehemu nyingine na wanaenda huko kutega mingo. Wengi wanakaa ka-gizani na mnapoingia ndani kwenye taa ndiyo unakutana na hali halisi ya ulichonunua.
 
duh
 
Ujanja wote mfukoni
Ungeenda pale nyegez

Sasa chukua hatua mwanachama
~Najua unalalaga kuanzia saa7+ anza kulala saa5 au saa nne tu.

~Piga tizi usikae kizembe kimbiakimbia

~Kula ushibe kula parachichi za kutosha

~Baada ya wiki mbili urudi mbona atakufukuza kwa kutokumaliza mapema

~Kuacha uwezi ila punguza nyeto

Pimbi wewe
 
Njoo the bottom hapa Gold crest hotel hutajutia mkuu au Diamond pia DV8 Kuna mambo mazuri
 
Back
Top Bottom