Yaliyonishangaza mjini

Yaliyonishangaza mjini

Dali Mpofu

Senior Member
Joined
May 9, 2021
Posts
173
Reaction score
328
Asilimia kubwa nimekulia kijijini, elimu yangu primary, Olevel, A.level zote nimesoma vijijini.

Kidogo chuo nikabadili mazingira ya mjini lakini napo ilikuwa nje ya mji.

Kwahiyo mambo mengi ya kimjinimjini sijawai kuyajua kwakifupi mambo ya mjini mi mshamba.

Kuna issue moja imenishangaza/ ilinishangaza nilipofika mjini hasa miji mikubwa nimezidi kuwa mshamba.

Nilishangaa sana kuona wanawake wengii, wazuri vijana wanaita mali safi, wenye elimu pia maisha safi wako single wanaishi pekeyao tu bila wanaume ni wengi (hii hali ni nadra kukutana nayo kijijini).

Nimekuwa na maswali mengi sana, sitaki niamini wanaume mjini wanafeli kiasi hicho wala sina sababu za kukubalina kwamba wanawake wa mjini ndo wanapenda hivyo.

Ni nini hii!?
 
Asilimia kubwa nimekulia kijijini, elimu yangu primary, Olevel, A.level zote nimesoma vijijini. Kidogo chuo nikabadili mazingira ya mjini lkn napo ilikuwa nje ya mji. Kwaio mambo mengi ya kimjinimjini sijawai kuyajua kwakifupi mambo ya mjini mi mshamba
Kuna issue moja imenishangaza/ilinishangaza nilipofika mjini hasa miji mikubwa nimezidi kuwa mshamba.
Nilishangaa sana kuona wanawake wengii, wazuri vijana wanaita mali safi, wenye elimu pia maisha safi wako single wanaishi pekeyao tu bila wanaume,ni wengi (hii hali ni nadra kukutana nayo kijijini).
Nimekuwa na maswali mengi sana, sitaki niamini wanaume mjini wanafeli kiasi hicho wala sina sababu za kukubalina kwamba wanawake wa mjini ndo wanapenda ivo.
Ni nini hii!?
Wanataka wenye hela
 
Asilimia kubwa nimekulia kijijini, elimu yangu primary, Olevel, A.level zote nimesoma vijijini.

Kidogo chuo nikabadili mazingira ya mjini lakini napo ilikuwa nje ya mji.

Kwahiyo mambo mengi ya kimjinimjini sijawai kuyajua kwakifupi mambo ya mjini mi mshamba.

Kuna issue moja imenishangaza/ ilinishangaza nilipofika mjini hasa miji mikubwa nimezidi kuwa mshamba.

Nilishangaa sana kuona wanawake wengii, wazuri vijana wanaita mali safi, wenye elimu pia maisha safi wako single wanaishi pekeyao tu bila wanaume ni wengi (hii hali ni nadra kukutana nayo kijijini).

Nimekuwa na maswali mengi sana, sitaki niamini wanaume mjini wanafeli kiasi hicho wala sina sababu za kukubalina kwamba wanawake wa mjini ndo wanapenda hivyo.

Ni nini hii!?
Mchawi hela, tafuta helaa.....usirud bushi mikono mitupu
 
Back
Top Bottom