Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Heshima kwenu wanajukwaa,
Jana, wakati tunakumbuka tukio la kigaidi la kule nchini Marekani nikajikuta naingia katika vitabu vya historia kwa namna yake.
1. Nilikua na trade FX, nikajikuta nachoma account yangu, daah! acheni tu
2. Nikiwa nasikilizia maumivu, nikapokea message ya BREAK UP kutoka kwa manzi (pisi) yangu. Ilhali tulishapanga kukutana hivi karibuni.
Maumivu nlopata acheni tu!
"Pesa ndio jawabu la mambo yote"