mpolekabisa
Senior Member
- Oct 18, 2023
- 161
- 225
Asiyejua mpira hawezi kuelewa!! Kupigwa nyingi kwenye soka si ajabu na si ubovu wa timu, bali matokeo ya soka la kisasa huamuliwa kwenye benchi la ufundi!! Tutumie uzi huu kujitathmini bila jazba. Tumefikaje hapa? je ilikuwa ni lazima tufike hapa? tunatokaje hapa? Nini mchango wa kila sehemu (benchi la ufundi, wachezaji, viongozi na mashabiki) katika kufika hapa tulipofika!
Nianze na mawazo yangu!! 1. Kuna tatizo la usajili, tuna wachezaji ambao hatujaona thamani ya fedha tuliyowekeza kwao. Swali: Ilikuwaje tukawasajili? 2. Tukubali tukatae, kuna mapungufu ya kutosha tu kwenye benchi la ufundi!! Hadi sasa benchi letu la ufundi halina "first eleven"!! hilo ni tatizo!! 3. Kuna tuhuma za wachezaji kugombea namba nje ya uwanja!! hilo halina tija kwa timu!! ushindani unatakiwa uwe wa kiueledi ndani ya uwanja!! 4. Mashabiki tukosoe wachezaji kwa heshima na si bila heshima na kuwavunja moyo!! Ukweli usemwe bali kwa upendo, na mchezaji akikosolewa kwa heshima ajiangalie!! 5. Kwa viongozi: Jitafakarini na kujipima kwa dhati!!