Yaliyopo Dubai yanatisha

Yaliyopo Dubai yanatisha

ubaguzi ni pale unapojibagua mwenyewe nafikiri
Kila siku ya Mungu nakutana na clip ya dada wa kiafrika hasa wakenya akilalamikia unyanyaswaji wa wanaokwenda kufanya kazi uarabuni. Ni hivi: culture za waarabu zinaruhusu utwana na ubwana na pia wanaamini kuwa mtwana ni lazima ateseke. Tajiri akiagiza aletewe dada wa kazi kutoka Afrika huwa anasema ''nimeagiza mtumwa''. Kinachonishangaza ni kwa nini hawa wasichana bado wanakimbilia huko? Ni akili za nyani? Uhai na fedha ni kipi muhimu? Wengine wanajaribu kuilaumu serikali na viongozi, kwanini wanapelekwa kwa nguvu?
 
Mtu mweusi ndio mtu pekee ambaye ameshindwa kwenye nyanja zote;
za
Kujitawala
sayansi na teknolojia
Elimu
Utamaduni
siasa
Uchumi
Kusimamia miradi
Sanaa

Je ni kitu gani hasa ambacho tunaweza kukifanya kwa ufanisi na ustadi mkubwa?

HIVI NI LAZIMA KWENDA DUBAI?
 
Wakati Tanzania na Nchi nyingi za Kiafrika zinachukua Uhuru miaka ya 60 Dubai kilikuwa Kijiji cha wazamia Lulu.

Leo hii wamefanya Jangwa lionekane mahala pa maana na sisi huku tumekuwa ni kama Kijiji cha Wachawi roho mbaya kuteka kuuwa kupoteza nk.
 
Kila siku ya Mungu nakutana na clip ya dada wa kiafrika hasa wakenya akilalamikia unyanyaswaji wa wanaokwenda kufanya kazi uarabuni. Ni hivi: culture za waarabu zinaruhusu utwana na ubwana na pia wanaamini kuwa mtwana ni lazima ateseke. Tajiri akiagiza aletewe dada wa kazi kutoka Afrika huwa anasema ''nimeagiza mtumwa''. Kinachonishangaza ni kwa nini hawa wasichana bado wanakimbilia huko? Ni akili za nyani? Uhai na fedha ni kipi muhimu? Wengine wanajaribu kuilaumu serikali na viongozi, kwanini wanapelekwa kwa nguvu?
mbaya sana..sema wakutawaliwa hawawezi kuisha duniani

kuna watu hawawezi kujitawala ni kama wanakubali unyonge kupitiliza shida huanzia hapo nafikiri, mfano kuna tasisi moja niliona ya kidini inaminya sana wafanyakazi bila wao kujua au niseme kutojitambua yani mtu anafanya kazi kutwa kajiriwa kama dereva lakini jukumu lolote mbele yake analitekeleza hadi anasafisha mabanda ya nguruwe nje ya mshahara,mbaya zaidi wanampa sehemu ya kulala kwenye hostel za shule yao eti wamemsaidia kumbe anambiwa awalinde wanafunzi yani anageuka mlizi bila kujua.aliniambia hapa nalipwa na nimepewa nyumba ya kulala nikachanganua akilini nikaona huyu hajielewi yani anaona tasisi inamjali kumbe ananyonywa na hajui
 
Mtu mweusi ndio mtu pekee ambaye ameshindwa kwenye nyanja zote;
za
Kujitawala
sayansi na teknolojia
Elimu
Utamaduni
siasa
Uchumi
Kusimamia miradi
Sanaa

Je ni kitu gani hasa ambacho tunaweza kukifanya kwa ufanisi na ustadi mkubwa?

HIVI NI LAZIMA KWENDA DUBAI?

Kazi ya mtu mweusi ni kulialia aonewe huruma. Kumfuata ombaomba Matonya mpaka levels za juu kabisa. MATONYA aliomba mitaani Dar. Sisi ni omba omba huko na huko.
Tukiomba tunajiibia wenyewe na kuwekeza tena kule kule tuliko omba
 
Hii dunia ukitoa wanyama kiumbe kinachofuata kwa unyonge ni mtu mweusi.
Tumesombwa kama Mifugo na kwenda kuuzwa Uarabuni kwa karne kadhaa, na bado hata baada kupata Uhuru wenzetu waliopewa Uhuru wamekuwa tena ni Wakoloni weusi wasio na huruma hata kidogo.

Wanakopa mamikopo ya ajabu halafu wanakuja kugawana halafu wanatukamua sisi Watumwa wao tulipie starehe zao kwa Kodi zetu.
 
Back
Top Bottom