Yaliyopo: Yanga wanahaha kumrudisha Feisal kambini na kumuongezea mshahara anaoutaka

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Mara baada ya tamko la Rais, na after dinner Magogoni, kulikuwa na vichuguu vya hapa na pale kama mchwaz vichuguu namaanisha mikutano isiyo rasmi na baadae kichuguu kikuu ambacho muhandisi alikiendesha ila kwa kusikiliza tu, hakuwa na la kuchangia.

Agenda kuu ikiwa ni jinsi ya kulimaliza hili kwa fumabate yaani bila madhara kwa team na pia ili dogo asiwapande kichwani kwani kauli ya mkuu wa nchi ni maelekezo na takwa la kutekelezwa.

Ilidhaniwa kuamuliwa kuwa mtoto pendwa Zanzibar the finnest, abembelezwe arudi abakie Yanga hadi mwisho wa mkataba wake na changamoto zake na matakwa yote yaafikiwe. Shida ikaja kuwa hili litamdunisha sana mhandisi rais na ikizingatiwa kauli zake na wapambez za karibuni kuhusu dogo. Kwani machawa nao kujumlisha wachagoat walikuwa wameshachukua sides na bahasha za kaki kuendelea kumkandamiza.

Iliamuliwa hivyo ingawa muhandisi hakuwa na furaha na lakufanya, ila sasa dogo kuvutiwa waya yeye msimamo wake uko pale, abaki yeye ama Eng. Na sio tetesi bali muongozo ni kuwa anataka atatuliwe hilo ile aende upande wa pili msimu huu. Confirmed.

Angalizo: Yanga msiliamue kwa mihemko ya matamako na matamanio ya wanasiasa. Kuna FIFA na CAF mbele yenu.

Frengwa, kama jana kama leo kama juzi, ya kesho majaaaliwa.
 
Walikua wanakula million za magoli, Ndege za bure kwenda kwa waarabu na sasa Mbeya jumlisha na pilau la nguvu ikulu.

Kumbe walikuwa wanaiingia mtegoni,Kweli yanga wajinga sana.

Huyo Engineer sasa hivi anajiona boya sana kwa mana kauli zake za kumkataa dogo sasa anamlilia waziwazi kwa maana amekula vya wanaume sasa anavilipia
 
Nonesense
 
Kumbe kale ka semi ka there is no free lunch in Europe kana hold Africa Pia.
 
Nashauri yanga wasimbakize fei wachukue hio 100M aliyokuja nayo wakanunue Kiungo mwenye kiwango , malengo ya yanga sasa ni makubwa tofauti na mwaka Jana
 
Vikao vilifanyika palepale ikulu au kwenye ndege wakienda mbeya!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…