Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka.
Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka miongoni mwetu. Tunasubiri nini? Tukapige kura kumchagua nani? Maana CCM tumeichoka na wapinzani tumewachoka zaidi, ajabu hata wao wamejichoka kabisa!