Dhalimu magu ndio alikuja kuua hamasa ya siasa za ushindani hapa nchini, kwa kushurutisha ccm ionekane inakubalika wakati sio kweli. Sasa hivi wananchi wamepuuza huo upuuzi uitwao uchaguzi, maana ccm inalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti, na hakuna anayeitaka. Kwahiyo kuliko watu wakapoteze muda kwenda kujaa kwenye vituo vya kupigia kura wakati ni maagizo, ni Bora watu wasitokee kuonyesha ni kwa kiwango gani wameichoka ccm.Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm ! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka ! Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka miongoni mwetu ! Tunasubiri nini ! Tukapige kura kumchagua nani? Maana ccm tumeichoka na wapinzani tumewachoka zaidi ..ajabu hata wao wamejichoka kabisa!
Umewachoka wapinzani ni lini walishika Dola Kuna watz wengi wajinga kama huyu,Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm ! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka ! Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka miongoni mwetu ! Tunasubiri nini ! Tukapige kura kumchagua nani? Maana ccm tumeichoka na wapinzani tumewachoka zaidi ..ajabu hata wao wamejichoka kabisa!
Ccm haijachokwa,unajidanganya na cgadema wenzioHabari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm ! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka ! Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka miongoni mwetu ! Tunasubiri nini ! Tukapige kura kumchagua nani? Maana ccm tumeichoka na wapinzani tumewachoka zaidi ..ajabu hata wao wamejichoka kabisa!
Nimependa neno dhalimu.Mwanadamu pekee ambae nilifurahia kifo chake .na hata akifufuka ntaomba afe tenaDhalimu magu ndio alikuja kuua hamasa ya siasa za ushindani hapa nchini, kwa kushurutisha ccm ionekane inakubalika wakati sio kweli. Sasa hivi wananchi wamepuuza huo upuuzi uitwao uchaguzi, maana ccm inalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti, na hakuna anayeitaka. Kwahiyo kuliko watu wakapoteze muda kwenda kujaa kwenye vituo vya kupigia kura wakati ni maagizo, ni Bora watu wasitokee kuonyesha ni kwa kiwango gani wameichoka ccm.
Hakuna uwezekano wa watu kuendelea kuchezewa kwenye hilo igizo la uchaguzi. Ccm sio chama Cha kizazi hiki.
Una homa ya ini.Pumzika.Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm ! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka ! Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka miongoni mwetu ! Tunasubiri nini ! Tukapige kura kumchagua nani? Maana ccm tumeichoka na wapinzani tumewachoka zaidi ..ajabu hata wao wamejichoka kabisa!
Yani kajichokea yeye mwenyewe anataka na wengine wachoke kwa lazima. Waste materials kabisa!🤣Imechokwa na nani?. Bunge limejaa CCM halafu unadai upinzani umechokwa.
Seleka za 2025 sizipatiii picha kabisa lo.