Yaliyotokea Jana St.James Park NEWCASTLE vs MANURE.

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Miguu michafu ya kina lukaku na sanchez, Miguu Iliyobeba nyayo zenye vumbi la dhambi. Ilipothubutu tu kuikanyaga ardhi takatifu ya Mtakatifu James. Ardhi ikapiga kelele ishara ya kwamba kuna watu wamekuja kuitia najisi mji huo mtakatifu, Ndipo gavana katili wa mji wa Newcastle akawauliza diame na Ritchie Mnataka nimfanyeje MANURE?!! Zikasikika kelele ASULUBIWE! ASULUBIWE!

Basi gavana akaamuru MANURE atendewe kama watu wa mji wa NEWCASTLE watakavyo.
NEWCASTLE wakamtwaa MANURE, wakamfanyia dhihaka kwa kumvika nepi kichwani, kisha wakamnyoa ndevu kwa vijinga vya moto.

Wakamtundika kwenye mbao zilizotengezwa mfano wa msalaba. Kisha wakampigilia msumari mkubwa mmoja tu. Mikononi na miguuni. Juu ya kichwa chake wakaweka kibao chenye maneno ya kiitaliano.. Mosi serta hora inserta. Yaani, HUYU NDIYE BINGWA WA UROPA LEAGUE
Baadhi ya askari wasiojua tafsiri ya neno utu tangu wazaliwe. Wakamuona Ed Woodward amejificha akishuhudia mateso ya Manure Wakamfuata nakumuuliza. Wewe nawe u sehemu ya watu hawa?!! Ed akaikana Manure mara 3 kwa kusema maneno haya..

SIJAWAJUA WATU HAO TANGU KUZALIWA KWANGU.'' Baada ya hapo akatoka mbio mithili ya kibaka aliyeichoropoa shingo yake kwenye tairi la moto.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Man united raha sana... Yani ina mashabiki wengi mpaka mashabiki wa asenane, loserfool, chelshit...woote hao wanaishabikia!!

Kabla hujaiponda man united jiulize timu yako iko namba ngapii??

GGMU...
 
Man united raha sana... Yani ina mashabiki wengi mpaka mashabiki wa asenane, loserfool, chelshit...woote hao wanaishabikia!!

Kabla hujaiponda man united jiulize timu yako iko namba ngapii??

GGMU...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
mkuu naona uaandika kwa maumivu makali sana..
 
Mpaka sasa Jonjo Shevley yupo sero kwa tuhuma za kumteka Pogba na kumficha kusikojulikana.
 
hao wote wagonjwa ila huyo wa kati ni mgonjwa wa kifafa,leo mzima kesho chali

wa kulia ni mgonjwa wa ukimwi kila siku mgonjwa.

wa kushoto ni mgonjwa wa fistula,nyuma kuelegea so kila kitu kinapita tu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tumepata jibu kuwa wewe niwa darajani na leo unakufa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hao wote wagonjwa ila huyo wa kati ni mgonjwa wa kifafa,leo mzima kesho chali

wa kulia ni mgonjwa wa ukimwi kila siku mgonjwa.

wa kushoto ni mgonjwa wa fistula,nyuma kuelegea so kila kitu kinapita tu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Asee we jamaa nenda kitanda no 52 Mirembe jirani na nabii tito nakuja kwa uchunguzi zaidi laaah!,sio kwa kutuvunja mbavu huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asee we jamaa nenda kitanda no 52 Mirembe jirani na nabii tito nakuja kwa uchunguzi zaidi laaah!,sio kwa kutuvunja mbavu huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…