Yaliyotokea Jana St.James Park NEWCASTLE vs MANURE.

.
Man United 4-0 West Ham
Swansea 0-4 Man United
Man United 4-0 Everton.......

[emoji714] Manchester United tumapata Coach bana Mourinho atakua ni mrithi sahihi wa Mikoba ya Ferguson.
:
:
Liverpool 0-0 Man United
[ possession 70-30 ]

[emoji714] kikubwa point ball possession waachie Arsenal
:
:
Huddersfield 2-1 Man United

[emoji714] Mourinho sio Coach ni msimamizi wa mazoezi
:
:
Benfica 0-2 Man United

[emoji714] Mourinho ni Coach mzuri sana msimu huu lazima tubebe Uefa.
:
:
Chelsea 1-0 Man United

[emoji714] huyu Coach boya sana hua anaenda kugawa tu point kwenye team yake ya zamani << Mourinho out >>
:
:
Arsenal 1-3 Man United

[emoji714] Guardiola, Conte ,Pochettino, Wenger = Mourinho, hakuna kama Mou huyu Coach akitengeneza ukuta huwez kupita.
:
:

Man United 1-2 Man City

[emoji714] tatizo sio Lukaku ni Mourinho
:
:
Bristol 2-1 Man United

[emoji714] huyu coach tumemchoka aondoke tu bora team apewe giggis Mourinho out out out
:
:
Everton 0-2 Man United

[emoji714] mwaka huu tumeingia na kasi ya ajabu tunaupiga mwingi hadi unamwagika hakuna tena kupaki bus << in mourinho we trust >>
:
:
Leicester 2-2 Man United
Man United 0-0 Southampton
Man United 2-2 Burnley

[emoji714] huyu Coach sijawahi kumkubali tangia aje Manchester United.
:
:
Man United 2-0 Huddersfield

[emoji714] huyu coach aongezewa mkataba naona taratibu kaanza kuirudisha hadhi ya Manchester United.
:
:
Newcastle 1-0 Man United

[emoji714] Mourinho anabebwa tu na umaarufu wa jina lake lakini sio Kocha. [emoji3][emoji3]

................................................................. hii season ni ndefu sana kuiangalia
 
hao wote wagonjwa ila huyo wa kati ni mgonjwa wa kifafa,leo mzima kesho chali

wa kulia ni mgonjwa wa ukimwi kila siku mgonjwa.

wa kushoto ni mgonjwa wa fistula,nyuma kuelegea so kila kitu kinapita tu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hapo Wamembeba Mume Wao Wanampeleka Kitandani akawamwagie Wazungu!
 
hao wote wagonjwa ila huyo wa kati ni mgonjwa wa kifafa,leo mzima kesho chali

wa kulia ni mgonjwa wa ukimwi kila siku mgonjwa.

wa kushoto ni mgonjwa wa fistula,nyuma kuelegea so kila kitu kinapita tu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…