Yaliyotokea Kariakoo: Ushauri

Yaliyotokea Kariakoo: Ushauri

Green Beret

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
631
Reaction score
991
Pole kwa waathirika.
Moja kwa moja kwenye hoja.

Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka.

Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio.

Hapa Kariakoo sijafahamu ila nashauri wataalamu wa migodini wangeletwa haraka sana kutoa ushauri ujuzi na msaada kama utahitajika.

Nawasilisha mada


View: https://youtube.com/shorts/gds994wadSg?si=5e_axPbIzYM_A4ln
 

Attachments

  • videoplayback.mp4
    2.9 MB
Back
Top Bottom