Green Beret JF-Expert Member Joined Apr 22, 2022 Posts 631 Reaction score 991 Nov 17, 2024 #1 Pole kwa waathirika. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka. Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio. Hapa Kariakoo sijafahamu ila nashauri wataalamu wa migodini wangeletwa haraka sana kutoa ushauri ujuzi na msaada kama utahitajika. Nawasilisha mada View: https://youtube.com/shorts/gds994wadSg?si=5e_axPbIzYM_A4ln Attachments videoplayback.mp4 2.9 MB
Pole kwa waathirika. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka. Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio. Hapa Kariakoo sijafahamu ila nashauri wataalamu wa migodini wangeletwa haraka sana kutoa ushauri ujuzi na msaada kama utahitajika. Nawasilisha mada View: https://youtube.com/shorts/gds994wadSg?si=5e_axPbIzYM_A4ln