Kumbe upendi ila umetazama vzr piaNipo upande wa refa licha ya kuwa sishabikii soka la bongo na yote sababu ni nidhamu ya wachezaji wa kibongo na ligi nzima...
Yaani ukitaka kuchukia mpira wa bongo timu underdog ifunge goli la mapema yaani soka linakuwa limeisha...
Kujiangusha angusha kusiko isha, kujiumiza ata kama mchezaji hakuguswa....
Leo refa kawaonesha wachezaji wazembe namna watazamaji wanapenda soka na siyo maigizo maana wanatoa pesa na muda wao ili kupata burudani na siyo vinginevyo...
NOTE:
"Angalia world cup uone mpira siyo maigizo"
Asante
Yap kuna watu walikuwa wanabishana mara baada ya goli kurudi nikaja kusuruhisha ......Kumbe upendi ila umetazama vzr pia
yaah Angalia mechi ya Argentina na Saudi Arabia, dakika za nyongeza zilikuwa 8 na bado mwarabu akapoteza muda kwa kujiangusha hovyo. ikabidi refa aongeze dakika nyingine 8. Kiufupi mambo ya kupoteza muda ni uhuni.Huwa nawashangaa sana marefa wa ligi ya NBC, unakuta timu inapoteza muda kijinga halafu dakika za nyongeza zinakuwa chache sana na bado na zenyewe zinakuwa kama maigizo tu. Namsifu sana refa wa leo, marefa wengine wajifunze. Coastal Union wanatakiwa kuadhibiwa vikali na mamlaka za mpira ili uhuni huu usije jirudia.
Muhimu umesema kwa ufahamu wako Ila kwa taratibu za soka sio hivyo. Angalia hata kombe la dunia mwaka huu muda wowote unaopoteza lazima ufidiwe wakiongeza 6 ukizipoteza watafidia mpka zifike dakika halisi za kucheza.Kwa ufahamu wangu wa mpira ni kwamba pale dakika za nyongeza zinapotangazwa, ndiyo hizo hizo zinatakiwa kutumika hata kama kuna timu itakayofanya mchezo mchafu wa kupoteza muda. Mara moja moja naona refa anaweza kuongeza kadakika kamoja zaidi ila siyo kudouble muda kwa sababu yoyote ile.
Game ya leo inayoongelewa sijaangalia ila nakumbushia tu.
Mkiuaona yote haya yanatokea, semeni CCM oyeeeeee.... CHADEMA walipofanyiwa udhalimu ni nani aliye piga kelele?1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.
2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2
3. Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango
4. Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Azam kazidi kubebwa sawa na Makolokolo, kuna penalty karibia 2 hivi karibuni alipewa kindezi kweli, Mkuu wa TFF naye ni wa mchongo tu [emoji35]mtoa mada una matatizo ujaangalia mechi live dk4 zimeongezwa mpaka zimeisha hakuna ata dk moja iliyochezwa kipa aliumia kuanzia dk 89 mpka dk 95 ndio mpira unaendlea sasa ww ulitaka refa amalize mpira kwa dk ambazo azijachezwa
Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada daaah...[emoji23]WAnaumia mimi kuwaito uto
Je wanavyotuita humu wala ngada? Makolo mbumbumbu?
Sina muda wa kubembeleza wa kumchekea mtu anaponiquote kejeli
TuliaKuna watu wana mimba za Simba ila hawajijui ngoja wazae tu nyau [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Sijamtaja mtu atakae jibu ndo yeye
Sasa hapo yanga imehusikaje[emoji16]Ukisikiliza vipindi fulani vya michezo utasikia wanasema ligi yetu imekuwa bora sasa.
Bahasha zimekuwa nyingi hata kama coastal union walikuwa wanapoteza muda ila ziliongezwa nne kufidia zilizopotezwa je ndio wacheze hadi zifike 101?
TFF kabidhini tu kombe kwa UTO tufanye ligi imeisha sio kupoteza muda kuangalia mpira wa hovyo
Mpira sijaangalia lakini kwa mujibu wa maelezo yako ndugu yangu, dk ziliongezwwa 4,mchezo uliendeleq dk ya 95, 95+4=99, sasa iweje game ifike 101 kama mleta mada alivyodai?mtoa mada una matatizo ujaangalia mechi live dk4 zimeongezwa mpaka zimeisha hakuna ata dk moja iliyochezwa kipa aliumia kuanzia dk 89 mpka dk 95 ndio mpira unaendlea sasa ww ulitaka refa amalize mpira kwa dk ambazo azijachezwa
AksonTulia
Mimi nashangaa sana watu wako na mawazo kila kitu kuhongwa refa alikuwa sahihi kabisa na hii kusema dakika za nyongeza mfano 4 haina maana dakika 4 tu maana yake chini kabisa dakika 4 ila kwa mechi kulikuwa na muda mwingi ukapotezwa na dawa ya hii ndio refa kufidia lakini team nzuri kama umeweza kuzuia kwa dakika 90 na wewe mzuri unalia kwa dakika 4 kitu gani? kama wanalia kwa dakika 4 basi wanastahili kufungwa team nzuri yenye kutaka kushinda imeshinda.mtoa mada una matatizo ujaangalia mechi live dk4 zimeongezwa mpaka zimeisha hakuna ata dk moja iliyochezwa kipa aliumia kuanzia dk 89 mpka dk 95 ndio mpira unaendlea sasa ww ulitaka refa amalize mpira kwa dk ambazo azijachezwa
Hapana sio hivyo ndio maana hata huko majuu time zikipetezwa tena kama mtu kujeruhiwa katika kipindi cha extra time utaona refa anaonesha saa yake kuwa muda uko stop kupisha majeruhi.Kwa ufahamu wangu wa mpira ni kwamba pale dakika za nyongeza zinapotangazwa, ndiyo hizo hizo zinatakiwa kutumika hata kama kuna timu itakayofanya mchezo mchafu wa kupoteza muda. Mara moja moja naona refa anaweza kuongeza kadakika kamoja zaidi ila siyo kudouble muda kwa sababu yoyote ile.
Game ya leo inayoongelewa sijaangalia ila nakumbushia tu.
Huo ufahamu wako hauko sahihi, usahihi ni kuwa kama zimeongezwa dk4 halafu mchezaji akaumi refa atasimamisha kitunza dakika chake mambo yakikaa sawa anakiwasha mechi inaendelea, Ila lile bango kwa kamisaa kule halitaonyeshwa tenaKwa ufahamu wangu wa mpira ni kwamba pale dakika za nyongeza zinapotangazwa, ndiyo hizo hizo zinatakiwa kutumika hata kama kuna timu itakayofanya mchezo mchafu wa kupoteza muda. Mara moja moja naona refa anaweza kuongeza kadakika kamoja zaidi ila siyo kudouble muda kwa sababu yoyote ile.
Game ya leo inayoongelewa sijaangalia ila nakumbushia tu.