CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Baad ya Ay na Mwanfa kuwashtaki Tigo ilikuwa kimbembe jamaa wakiwa wadhamini wakuu wa Tigo fiesta wali wa block kabisa hao wawili kupafomu kwenye tamasha hilo haikujalisha ukaribu wa FA na Ruge ,wenye pesa zao walikataa kabisa
Kipindi hicho AY alikuwa mtu wa kusafiri sana ila FA alikuwa kama anaanza ku struggle na game hivi akitoa nyimbo hazi hit kabisa baada ya kushinda kesi na Tigo kuamriwa kulipa mamilioni ya pesa kwa hao jamaa kuna show ya Togo fiesta ilikuwa Arusha Mwana Fa alikuwepo huko akajichanganya kwenda kuingia tu kama mshabiki,weee jamaa alizuiwa getini kabisa yaani hakuna kuingia kwenye hiyo Tigo fiesta show
Sasa menina kawashtaki Dstv kwa kurusha kipindi cha umbeya cha kina lokole kwa kumdhalilisha na kumuita muuaji anadai fidia ya bilion 1.12 ,swali ni kwamba Menina anaonekana kwenye baadhi ya tamthilia zinazoruka kwenye hiyo hiyo masiha magic ya dstv ITAKUWAJE SASA?
Tutarajie character yake kuuliwa kwenye story????nahisi itatokea hivyo atapigwa stop kiaina kuonekana kwenye tamthiliya au kazi yoyote itakayoruka hapo