Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ni Jambo la kawaida SANAHuu utamaduni wa kualika wageni kwenye mikutano ya vyama haikosi kuja na yake:
View attachment 2584486
Kama mambuzi Dodoma yamemkuta Tolu mwamba wa Kigali.
Kwa mwendo huu pana siku yanaweza kuwa makubwa zaidi ya haya.
Cha ajabu ni chama cha mambuzisasa kuna kipi cha ajabu hapo ulimi kuteleza tu
Hakuna cha ajabu mjomba ila ni break time wakati tukiwachukulia kasi wezi wetu:sasa kuna kipi cha ajabu hapo ulimi kuteleza tu
Hii ni sawa na wale waliokuwa wakiapishwa katika Serikali ya muungano Tz, ila wanajikuta wakiitaja Serikali ya mapinduzi, ila hata hawakujishitukia.Huu utamaduni wa kualika wageni kwenye mikutano ya vyama haikosi kuja na yake:
View attachment 2584486
Kama mambuzi Dodoma yamemkuta Tolu mwamba wa Kigali.
Kwa mwendo huu pana siku yanaweza kuwa makubwa zaidi ya haya.