Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Olise alivyokutana na muhuni Fabian Ruiz alipoteana sana tokea first leg na Jana . Hata chenga zake na miondoko yake ni predictable beki ukifanya homework vizuri kwa kuangalia videos zake na kumMark kisawasawa basi imeisha unamtia kapuniHAta stamina ya kushikilia mpira anayo, yaani ni vigumu sana kumpokonya, diazi ni mashine ya vita, yamal kipaji halisi, sijavutiwa sana na olise naona kama mlaini hasa akikutana na beki ngumu, halafu mpira hafichi, ni rahisi kutibua au kupokonya
Kweli kabisaOlise alivyokutana na muhuni Fabian Ruiz alipoteana sana tokea first leg na Jana . Hata chenga zake na miondoko yake ni predictable beki ukifanya homework vizuri kwa kuangalia videos zake na kumMark kisawasawa basi imeisha unamtia kapuni
Olise hata shabaha ya kulenga goli bado hayupo vizuri. Luis diaz na kvaratshkelia wakipata site ya kupiga on target hawakuachi. Jana kila wakitafuta site walikua wanawekewa ukuta.HAta stamina ya kushikilia mpira anayo, yaani ni vigumu sana kumpokonya, diazi ni mashine ya vita, yamal kipaji halisi, sijavutiwa sana na olise naona kama mlaini hasa akikutana na beki ngumu, halafu mpira hafichi, ni rahisi kutibua au kupokonya
Kvara anachowazidi wenzake ni hicho, anakaba, anakimbia na kupress all the time, sio yeye Tu hata Dembele na mastaa wengine wa psg, sio "Diva" ndio maana unakuta Big match zote ana perfomance kubwa Sana.HAta stamina ya kushikilia mpira anayo, yaani ni vigumu sana kumpokonya, diazi ni mashine ya vita, yamal kipaji halisi, sijavutiwa sana na olise naona kama mlaini hasa akikutana na beki ngumu, halafu mpira hafichi, ni rahisi kutibua au kupokonya
Asingekuwa tishio, timu kubwa kama Bayern wasingemuonaHivi unaweza amini olisse kacheza pale crystal palace england majuzi tu? Mbona hakuwa tishio?