Wakazi wa Dar wanasema kama utabiri haukutimia Shehe yahaya atahitajika kwa ajili ya kupigwa mawe mapa mauti yamkute ,na hivyo ajue kuwa ushirikina hauna nafasi hapa Tz ,hawa ndio wanaotabiri uwongo wa kupata utajiri kwa kuuwa maalbino ,huyu ni adui mkubwa sana anapozidiwa anasema hafanyi uchawi.
Wandugu yamebaki masaa Kabla ya Kuifikia siku ya uchaguzi, ni saa sita na dakika moja usiku wa leo kama Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa tumeifikia hiyo siku!
Bado ninashaulu ya kujua kama ni kweli Huyo mgombea mwenza wa kikwete yuko mbioni Kufa au la.
Na je, lisipotokea alilotabiri huyu mzee itakuwaje katika biashara zake ambazo kimsingi zinategemea TRUST ya watu?
Wandugu yamebaki masaa Kabla ya Kuifikia siku ya uchaguzi, ni saa sita na dakika moja usiku wa leo kama Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa tumeifikia hiyo siku!
Bado ninashaulu ya kujua kama ni kweli Huyo mgombea Urais mwenye nguvu zaidi za kumpinga kikwete yuko mbioni Kufa au la.
Na je, lisipotokea alilotabiri huyu mzee itakuwaje katika biashara zake ambazo kimsingi zinategemea TRUST ya watu?