Yamemfika nini Aunty Ezekiel?

Abuu Said

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
4,010
Reaction score
4,763
Habarini wanaJf hivi mmeisikia ile scene ya anti. Ezekiel na Nape mi nimesikia tusi tu likimtoka Ant mwenye full details atujuze basii
 
pale ndio inadhihirisha kwamba walinunuliwa coz anasikika akisema ...napangiwa cha kussema na aliye nileta.....
ni sheeda
 
Dah mtoto yule mswahili balaa uyo aliyemleta sjui nani anampa jeuri mpaka kutoa tus zito namnaile
 
Kama ana matusi ya kutisha ccm ndo itakayo mfaa..
 
Aunt nampata sana kwa jeuri na matusi hafai kuigwa na hana lolote acha ahangaike na siasa za bongo.
 
Ccm ya mwaka huu imewekeza sana kwenye wasani inadhani watanzania wote tunapenda usanii
 
Ccm ya mwaka huu imewekeza sana kwenye wasani inadhani watanzania wote tunapenda usanii
ccm wenyewe wasanii sasa unategemea nini? wana kipi cha kuwaambia wananchi zaidi ya kucheza mziki na kupiga push ups?
hawana cha kusema baada ya kudanganya kwa 54 years sasa wameamua watukane angalau vinywa vyao vitoe sauti.
na wananchi nao tunajitia uboya sisi wenyewe wanabeba kwenye malori kama viazi mbatata sasa wakituambia siye viazi tutakataa?
kama watu wanajielewa wangeenda kusikikiza mitusi yote ile?
 
Kwa kweli lile tusi kwa Nape ni saizi yake kabisa,usikute alitaka kugonga mzigo
 
iwekeni hapa siyo kila mtu ana whatsapp
 
mm nmeishia kusikia matusi tu lakini sijui waliabzia wap hadi kufikishana huko
 
Dah huyo Dada anamatusi hadi raha, Yaani anataja matusi mazimamazima habakishi hata ya akiba, sijui Nape kamfanyia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…