..atulie tu aongee vyema na mmewe huku akitafuta wapi palipata nyufa na apazibe,hawala ni kiumbe asiye na haki ingawa ni mwerevu na makini ktk usafi wa mwili,akili na mtundu wa mambo flani..kitu ambacho hata walio kwenye ndoa wanaweza kuwa navyo..nachoogopa ninyi wamama wa leo umekosa kabisa nafasi za ku-update ufahamu wenu juu ya maisha na mahusiano,kiasi mwafanya studio zenu zikose mvuto,acheni usanturi/kunenepa bila mpangilio,ongezeni kiu ya kuyaboresha maisha yenu kila ki2 kitakuwa pouwa..
Angalizo: YALIYOMKUTA NI YA KAWAIDA SANA HUKU NJE TUKO SIYE AMBAO TUNAUMIZA ZAIDI KO ASIJARIBU KUJA ASIJE OMBA SUB NA PIPO ZA AHERA BURE..
Hapo ni jino kwa jino au siyo?
Mwisho wake nini?inasaidia kupunguza maumivu pamoja na hasira
Mwisho wake nini?
Hii nzuri sana...Sasa ni vizuri kumwambia friend wako amu uliza my husband wake hivi; Je unampenda huyu dame. Kama unampenda nikupelekee posa kuliko kufanya zinnaa. Mjamaa mwenyewe ataacha upuuzi wake huo. Believe me that is true. It might have worked on me.
Sasa ni vizuri kumwambia friend wako amu uliza my husband wake hivi; Je unampenda huyu dame. Kama unampenda nikupelekee posa kuliko kufanya zinnaa. Mjamaa mwenyewe ataacha upuuzi wake huo. Believe me that is true. It might have worked on me.
Mwambie kama hajamshika na mwanamke aendelee naye tu, inawezekana rafiki ya mme wake ame fwd message kwa mme wake ili amsomee...c unajua wanaume wengine hawajaenda shule.
Aisay mimi ndo kama mme wa huyo mwanamke basi ningemuambia brother wake ndo katuma ile message...eti ananionyesha yeye shujaa wa kupenda penda nje :biggrin:
Hata huyo mwanamke naye kapitwa na wakati....angekuwa anaenda na wakati asinge soma message za mme wake, sababu hazimuhusi yeye.Uongo huo umepitwa na wakati hakuna atakaye kubaliana na hilo.
Sawa kabisa.....Hata huyo mwanamke naye kapitwa na wakati....angekuwa anaenda na wakati asinge soma message za mme wake, sababu hazimuhusi yeye.
Kwa kuwa huyo mwanamke kapitwa na wakati huo uwongo unaenda sambamba na yeye bila wasi wasi.
mwambie atafute kidume cha mbegu akigawie na yeye ili ngoma iwe draw
Habari zenu wana JF. Nina rafiki yangu na ni jirani yangu wa karibu ambaye katika story mara nyingi alipenda kumsifia mumewe kuwa ni mwaminifu kupita kiasi hawezi kumcheat. Kumbe inaonekana jamaa alikuwa na mazoea ya kutoka nje lakini alikuwa anazingatia vigezo na masharti ya kuwa na nyumba ndogo. Jana ikatokea km bahati mbaya jirani akawa anachezea simu ya mumewe mara akaingia katika inbox na kukutana na sms za mapenzi toka kwa hawala kuwa anamshukuru kwa penzi tamu alilompa kwenda kwenye sent item akakumbana na jibu la mumewe kuwa hiyo ilikuwa cha mtoto ngoja wakutane tena. Bibie akatoka amepanic na kuja kwangu huku analia anaomba ushauri afanye nini. Nimeamua kuwashirikisha ili walau nipate mawazo yenu nijue nimshauri nini kwa sababu hajajiunga JF.
Hata huyo mwanamke naye kapitwa na wakati....angekuwa anaenda na wakati asinge soma message za mme wake, sababu hazimuhusi yeye.
Kwa kuwa huyo mwanamke kapitwa na wakati huo uwongo unaenda sambamba na yeye bila wasi wasi.
Mwanamke hana kosa bali pengine Mwanamme alitegesha> Sote tunajuwa kuwa kuna vitu ukishapeleka unafuta haraka isiende kwenye Sent na ukipokea vitu vyengine inakuwa kama espionage unaweka rohoni na kufuta haraka kwenye simu. Ruhusa ya kutumia simu ya mmojawapo kunaengeza kuaminiana kwenye ndowa na wala si kosa kusoma simu ya mwenzio.
Hata huyo mwanamke naye kapitwa na wakati....angekuwa anaenda na wakati asinge soma message za mme wake, sababu hazimuhusi yeye.
Kwa kuwa huyo mwanamke kapitwa na wakati huo uwongo unaenda sambamba na yeye bila wasi wasi.
Hilo ni tukio la ngapi? Mumewe kajiteteaje? Yeye bado anaipenda hiyo ndoa? Ukiacha hizo message kuna dalili nyingine mbaya ambazo mumwe kazionyesha kwa Mkewe? Huyo rafiki yako mpaka sasa kachukua hatua gani? Mumewe kaonyesha kujutia au amekomaa? Nijibu kwanza haya maswaliHabari zenu wana JF. Nina rafiki yangu na ni jirani yangu wa karibu ambaye katika story mara nyingi alipenda kumsifia mumewe kuwa ni mwaminifu kupita kiasi hawezi kumcheat. Kumbe inaonekana jamaa alikuwa na mazoea ya kutoka nje lakini alikuwa anazingatia vigezo na masharti ya kuwa na nyumba ndogo. Jana ikatokea km bahati mbaya jirani akawa anachezea simu ya mumewe mara akaingia katika inbox na kukutana na sms za mapenzi toka kwa hawala kuwa anamshukuru kwa penzi tamu alilompa kwenda kwenye sent item akakumbana na jibu la mumewe kuwa hiyo ilikuwa cha mtoto ngoja wakutane tena. Bibie akatoka amepanic na kuja kwangu huku analia anaomba ushauri afanye nini. Nimeamua kuwashirikisha ili walau nipate mawazo yenu nijue nimshauri nini kwa sababu hajajiunga JF.