Yamenifika shingoni, nahitaji mkopo wa laki tano

Bonge la changamoto,tatizo hapo ni kuugua kwa mtoto tu,hayo mambo ya harusi kwa shida hizo ulizonazo tupa kule..pole mkuu.
 
Wafanyakazi wa Serikali wanapata shida sana, wengi wao wana maisha ya kubangaiza na kubahatisha, Serikali inabidi kuwafikiria
 
Wafanyakazi wa Serikali wanapata shida sana, wengi wao wana maisha ya kubangaiza na kubahatisha, Serikali inabidi kuwafikiria

Mkuu mpaka serikali iwafikilie huyo mtoto atakuwa salama kweli....vipi harusi watahairisha mpaka govmnt iwafikilie?
 
Mimi nafanya kazi Serikalini. Nimekwama kifedha. Nahtaj mkopo LAKI 5.mwezi huu KODI. Mtoto anaumwa. Kaka anafunga harusi. Sihachanga. Nilikopa bank nikanunua kiwanja bado makato makubwa. Wanaume tumeumbwa mateso.
Sasa harusi nayo inakuumiza kichwa ...jitahidi kuwa fikra pevu
 
Sasa harusi nayo inakuumiza kichwa ...jitahidi kuwa fikra pevu
Hpan ekotite. Ni mambo ya kijamii lazima nishiriki coz hata mimi naelekea kufunga harusi. Swala hapo ni namna ya kuonyesha ushiriki wangu
 
Mimi nafanya kazi Serikalini. Nimekwama kifedha. Nahtaj mkopo LAKI 5.mwezi huu KODI. Mtoto anaumwa. Kaka anafunga harusi. Sihachanga. Nilikopa bank nikanunua kiwanja bado makato makubwa. Wanaume tumeumbwa mateso.
Hilo la harusi ondoa kwenye list. Kama huna hela usichange na mweleze ndugu yako ukweli. Kisha ni vizuri ukaambatanisha document za hosipitali za matibabu ya mtoto.
 
humu matapeli wengi. mie kuna member kanitapeli ngoja nitulie nimuanzishie thread
 
Unaweza kukopa na kurejesha ndani ya miezi 3 au zaidi na unapata pesa ndani ya masaa 24 kazi kwako ndugu
 
Mimi nafanya kazi serikalini. Nimekwama kifedha. Nahitaji mkopo laki 5. Mwezi huu kodi. Mtoto anaumwa. kaka anafunga harusi. Sijachanga. Nilikopa bank nikanunua kiwanja bado makato makubwa. Wanaume tumeumbwa mateso.
Kodi na mtoto kuumwa ni sawa,ila la kuchanga harusi tupilia mbali,wanadamu hua tunachanganyikiwa kwa kujitakia,ningekua nakujua na upo hapa nilipo ningekusaidia mzigo wa mtoto wewe ukapambana na kodi,harusi ningekushauli hata usiende
 
Pole mkuu.

Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi inshaallah.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…