Pole sana yashanikumba hayo sehemu fulani. Hivi sasa sitaki kabisa kusoma menu. Ninachofanya ni kumuita mhudumu na kumwambia lete wali samaki aliyekaangwa,juice fulani, kama ni ugali n.k. Nishawahi kuletewa chakula robo tatu ni ndizi tupu na mimi hapa ni Msukuma.Dah nilijua ni bonge la msosi kumbeee...
HOTEL ZA KITALII BWANA!!!!
Unaenda Kempiski unaona menu imeandikwa:
Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole.
Price: TSH 22,000
Unaagiza! Ukiletewa ndio unagundua kwamba:
Ni makande na parachichi..
Na msukuma bila ugali bado hajala kabisaPole sana yashanikumba hayo sehemu fulani. Hivi sasa sitaki kabisa kusoma menu. Ninachofanya ni kumuita mhudumu na kumwambia lete wali samaki aliyekaangwa,juice fulani, kama ni ugali n.k. Nishawahi kuletewa chakula robo tatu ni ndizi tupu na mimi hapa ni Msukuma.
Aisee tumetofautiana.
Binafsi napenda kujaribu vyakula tofauti.
Hapa Chuga kila weekend kazi yangu kutembela fancy restaurants na kuenjoy food.
Mimi ni vegan kwahiyo nyama au diary product yoyote situmii.
Chinese dishes ndiyo nambari one kwangu.
Kuanzia Fried rice/Steamed rice with vegetables and Tofu
Pac Choi + steamed rice au Nuddles
Mapau Tofu.
Vegetable nuddles.
Vegetable satay + spring rolls
Dip Sums + Tofu + vegetable nuddles.
Siku nataka ni spend less naangilia option ya Combo. Ni cheap kimtindo.
I love food man
Nimejaribu aina nyingi sana ya vyakula nyingine majina nimesahau.
Nakula vyakula vinavyotoka ardhini tu.Sawa wewe hutaki kula nyama ili iweje, wacha kuiga wazungu.
Nakula vyakula vinavyotoka ardhini tu.
Sihitaji kuuwa mnyama nile.
Halafu nani kakwambia mambo yawazungu haya?
Ital muhimu kwa afya wewe mla kisusio
Kula alkaline food uwe vizuri kiafya.Something has to die for you to eat, hata mimea unayokula inacharangwa mapanga ili upate mlo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwenye hizo hotel mimi huwa naangalia mahali pameandikwa beef, chicken, pork fish bas mengine watajazia