Yamenikuta jamani!!

Mh!makubw!ila skia mkali madam hapo mwnzo ktk mahucano alikua hana tabia hyo bac jua kushapigwa pini na mjanj kulko ww au alivokwmbia i love u too alikua kakorofishna na boy wk na kw ss washarejean ishort and clear huna chk mkuu but pole cana!
 
Nina wasiwasi atakuwa kaona huna kiwango kama alivo kufikiria ama umemuangusha katka mambo yetu ya wakubwa yaani hukumfikisha zaid ya wakwake na huenda alikuwa anataka kufanya utafiti kama unaweza kumzid
 

Mkuu wewe ni mwalimu nn?!
Mana umetoa darasa la ukweli hapa lol.
 
Hey bwana mdogo shtuka sasa...Mapenzi kizungumkuti na mara nyingi hupenda usipopendwa na hupendwa usipopenda ndivyo ilivyokutokea wewe.....Sasa basi machungu unayopata sasa hivi ndio yale yale alioyapata yule mpenzi uliyemtamani na kumtelekeza baada ya kumpata mpya(ukipata chungu kipya usikitupe cha zamani)............Ushauri wangu ni huu mpende akupendae asiyekupenda achana naye..Amka jikung'ute mavumbi songa mbele,fanya maisha kwanza wanawake wapo tu tena wengi mno(kama ni mwanafunzi komaa na kitabu na km ni mfanyakazi komaa na kazi)..PIA MUOMBE MUNGU KWA IMANI YAKO AKUPATIE MPENZI MWEMA.
 
Wapo wengi mkuu. Huna haja ya kupoteza muda kwa mtu ambaye tayari kaonyesha hana mpango nawe. Mpishe usepeee!
 
mrudie tu yule mwingine, maybe sasa utauona mvuto baada ya kupata cha moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…